Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Natumaini mko poa Kiukweli wakat nakua kua nilikuwa nawaona watu wako pamoja nikawa nahis mambo ni rahis sana huko ndoani Kiukweli hali ni mbaya sana na ndoa nyingi za umri wetu zinapumulia...
60 Reactions
188 Replies
10K Views
Hivi hawa ni wanaume wa aina gani [emoji116] Hivi mwanaume unaomba nauli unatumiwa tena nauli ya taxi [emoji595] , na Chumba cha hoteli mwanamke najikaza nalipia alafu unaingia mitini na bila...
17 Reactions
171 Replies
17K Views
Walioachwa kwenye mahusiano wakakurupukia mengine haraka wakiwa kwenye hali ya kuvurugwa wengi wao walijikuta wakikosea tena vibaya zaidi ya mwanzo. Waliofumania wenzi wao au kusikia taarifa...
2 Reactions
0 Replies
322 Views
Kuna baadhi ya wanawake ambao hawajaolewa Ila wapo na mahusiano na wanaume . Hawa single mothers unakuta ana-rent Chumba kimoja na ndani ya chumba chake kimoja anakaa na watoto . Ambao...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
4 Reactions
8 Replies
650 Views
Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi...
3 Reactions
5 Replies
522 Views
Sijui kwa nini nina miaka 33 sina mke sina mtoto familia imenikalia kooni . Nina kazi nina Elimu.
9 Reactions
52 Replies
3K Views
SAA saba na dakika zake mchana, tumbo la Ashrafu lilikuwa likiunguruma kwa kusakamwa na njaa kali, aliamua kutoka ofisini kwao ndani ya Jengo la Al- Haramain, Mtaa wa Shaurimoyo jijini Dar na...
0 Reactions
49 Replies
19K Views
Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha...
0 Reactions
9 Replies
805 Views
Sasa nijikite kujenga taifa ....... Mambo mengi mda mchache.......:cool:
11 Reactions
79 Replies
3K Views
Hebu tuvunje uongo hatari: Vyombo vya habari vya kisasa vinadai kuwa mwanamke kamili ni mwenye malengo makubwa, mwenye juhudi, anayejikita kwenye kazi, na anayeongozwa na mafanikio. Wanamwita...
3 Reactions
4 Replies
475 Views
Mara nyingi nimekuwa ni mtu wa chakula cha nyumbani hivyo sikujua yanayoendelea huko kwa mama ntilie. huwa nawaonaga tu hawa mabinti wanatembea mitaani kutafuta wateja na wengine wanatembea...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa. Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Lengo la hizi apps ni kuwakutanisha watu kwa madhumuni ya kufahamiana na ikiwezekana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi uko mbeleni. Inasikitisha sana wakina dada wa bongo wamezipokea hizi apps...
20 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakuu hii ishu imetokea juzi usiku wa tarehe 12 Julai, bwana mmoja kwa jina la Ramadhani Mkami (34) mkazi wa Tandika Sokoni Usiku wa tarehe 12 Aliponea chupuchupu kushikishwa ukuta baada ya...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Ilinitokea wiki iliyopita, wakati natokea Ubungo kwenda Mbagala jamani sitosahau, khaaa kwa kweli akina kaka mnatia aibu jamani loooooh! Wakati gari linatokea Ubungo lilikuwa limejaza abiria na...
80 Reactions
514 Replies
137K Views
..
1 Reactions
4 Replies
462 Views
Tukiwa bado tunatafakari miaka miwili ya Rais Magufuli, kuna majanga yamenikuta mwenzenu. Kwa kifupi toka Jumapili nilikua lock up, sababu kubwa ikiwa ni mapenzi yani kuna mwanamke nilidhani...
20 Reactions
126 Replies
10K Views
Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano. Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze...
11 Reactions
89 Replies
4K Views
Back
Top Bottom