Suluhisho kwa wanaume wote mliokula vibuti

Suluhisho kwa wanaume wote mliokula vibuti

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,359
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio itasawazisha msongo wa mawazo uliowatawala.infact maisha yenyewe mafupi hatujui tarehe zetu
 
Usijaribu,matokeo yake ni kupata timu ya wanawake,simu yako ikipigwa ni wasiwasi tu hasa ukiwa na mwanamke muda huo,pia utaonana na wanawake ving'ang'anizi wanaotaka kuolewa hasa 30's yrs,furaha inageuka kuwa shida,hasira hasara
 
Mtoa post nikisoma tu post yako wew utakua umezaliwa 95 kuja huku tulipo
 
Usijaribu,matokeo yake ni kupata timu ya wanawake,simu yako ikipigwa ni wasiwasi tu hasa ukiwa na mwanamke muda huo,pia utaonana na wanawake ving'ang'anizi wanaotaka kuolewa hasa 30's yrs,furaha inageuka kuwa shida,hasira hasara

Mimi huwa sina maamuzi ya hasira bali ni maamuzi ya faraja
 
Back
Top Bottom