HABARINI ZA WAKATI HUU WANA mmu WOTE. MNAENDELEAJE ??
NI SIKU NYINGI KIDOGO TANGU
NICHANGIE AU KUPOST MADA HUMU JAPO MIMI SI GWIJI WA KUCHANGIA
NA KUPOST KAMA WENGINE LAKINI
YOTE NI MEMA NA...
Nawasalimia,
Kuna hii tabia ya wanaume ambao bado hawajaoa unakuta ana mpenzi wake au ile ya unatongoza tu wasichana kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya uanaume yaani kukidhi hitaji la gegedeo lake...
Habari wanaMMU,
Kwa kweli nimelimiss jukwaa letu pendwa kwa muda mrefu kwa sababu mbalimbali zilizopo nje ya uwezo wangu.
Bila kupoteza wakati na bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja...
Kuna mdogo wangu ambae hali yake kiuchumi si mzuri kwa kipindi kirefu, alipata matatizo akapoteza ajira, mm ndie msaada wake hapa mjini maana wana mapacha wachanga na mtoto wa class 4
Sasa kila...
Nadhani wazima kama mimi!
Ingawa ni mgeni ila kwa upendo wenu mtanipokea kwa ushauri mzuri.
Ni hivi wana Jf kuna haja ya kuendelea kumpigia simu, kum SMS mtu uliyeamua kuachana nae ikiwa...
Nilikuwa nafikiri watu wanatunga stori za humu lakini nimeamini mambo mengi yanayoandikwa humu ni ya kweli.
Nimemsomesha mchumba miaka 3 hadi akapata degree ya Tax managment lakini ameniacha...
Wakubwa zangu shikamooni,wadogo zangu marahaba na wa rika langu mambo zenu habari zenu za siku nyingi?
Naombeni msaada wenu katika hili ninyi wanaume,mnahisije au mnamchukuliaje binti/msichana...
Wikiend imekaaje wakuu?
Hii kitu ya kudai haki sawa kwamba kila anachofanya mwanaume, mwanamke nae anataka akifanye!
Sasa mwanaume akavua shati akabaki kifua wazi, na wewe mwanamke unavua...
Hi guys, i hope ur good
Kuna huyu workmate wangu tuko kwa department moja, she is married and 7 month pregnant, tumekua normal friends for so long hapa kazini, tumezoeana sana, na tumekua...
Hapa nlipopanga kuna jirani yangu mmoja wa kiume ana kidemu chake kinakujaga.hakina swaga wala nini...kachafu chafu(tumuite nurse).Sasa ikatokea huyu jirani na jirani mwingine wa kike wametakana...
Habbari zenu humu jamvini,mie ni kijana wa kiume najitokeza humu kumtafuta bint/msichana ambaye nitaweza kumuoa ili tuweze kuliendeleza kurudumu hili la maisha,Vigezo vyangu mimi kwanza awe...
WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano...
Wana mmu,
hizi habari nilikuwa nikizisikia tu, leo nimeprove! Meza ya mbele yangu wamekaa wadada wa3 warembo wa haja na mmasai pembeni anawapa maelekezo, nimechoka kbs! Dada zangu bikra ya...
thread nyingi zinazoletwa humu ni za wanaume wakisaka wanawake, na zimekuwa hazipewi kipaumbele kabisa na walengwa, yaani wanawake. Hii ina maana kuwa wanawake humu wana watu wao sana..
Ila...
Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu.
Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke.