Mchumba mwenye dini mwislamu

Mchumba mwenye dini mwislamu

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,634
Habbari zenu humu jamvini,mie ni kijana wa kiume najitokeza humu kumtafuta bint/msichana ambaye nitaweza kumuoa ili tuweze kuliendeleza kurudumu hili la maisha,Vigezo vyangu mimi kwanza awe amehifadhi juzuu 30 ama nusu yake,akiwa ameajiriwa au kujiajiri itakuwa sio mbaya,umri wake asizidi miaka 30,aliye yayari ani-pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom