UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,471
Wana mmu,
hizi habari nilikuwa nikizisikia tu, leo nimeprove! Meza ya mbele yangu wamekaa wadada wa3 warembo wa haja na mmasai pembeni anawapa maelekezo, nimechoka kbs! Dada zangu bikra ya bandia ya nini? Kama ilishafokonyolewa! Imefokonyolewa tu!