Nilikuwa nafikiri watu wanatunga stori za humu lakini nimeamini mambo mengi yanayoandikwa humu ni ya kweli.
Nimemsomesha mchumba miaka 3 hadi akapata degree ya Tax managment lakini ameniacha bila sababu yoyote ya msingi.
Ndugu zangu wenye nia kama yangu jaribuni kufikiria mara mbili. Najua wengi watanicheka but I didn't expect this to happen to me and why it happened to me.
Unaweza kunicheka lakini jambo kama hili linaweza kuja kutokea kwa ndugu, jamaa,rafiki, mtoto au hata mjukuu wako.
Nawasilisha.