Mimi ni mwanaume ila napenda kuwa na marafiki wa jinsia ya kike niwe ninabadirishana nao mawazo, ushauri kuhusu mambo ya kijamii na mambo mengine mengi kadri yanavyotokea katika jamii yetu.
Sasa ndio natambulisha jukwaa rasmi hivyo kuwa nimeibukiwa mwenzenu,Haya hayo yalikuwa mazungumzo kabla ya habari.
Jamani nisaidieni cha kufanya huyu mtu wangu mpaka sasa tunaenda vizuri.Mwezi...
Hii ni kutokana na research yangu mwenyewe kwa kuongea na wanawake wa rika na status zote, lakini pia masimulizi ya waliowahi kuwa wapenzi wangu lakini pia reports mbalimbali kwa mujibu wa...
Wakubwa heshima kwenu na wengine mambo zenu, kwa hakika namshukuru Mungu kwa uzima anonipa kila leo.
Naombeni mawazo yenu juu ya huyu MTU, kwakweli kuna wakati ananikwaza sana,
Namfaham tangu...
Wana JF,
Mipira ya kiume au kama tulivyozoea kuiita "condoms" ni njia inayoshauriwa sana kama zuio la magonjwa yatokanayo na kujaamiana au mimba zisizo tarajiwa. Condoms zinapatikana kuanzia...
Habari msomaji wa uzi huu,
Ni matumaini yangu hujambo.
Karibu kwenye mada...
Leo nitagusia swala la ngono kinyume cha maumbile; vitendo hivyo siku hizi watu wengi wanapenda kufanya ama...
Nlikua sijali kuhusu dini but I come to realize swala la udini bado lipo kwenye vichwa vya wasichana wengi.
Nmekuwa na waschana wa kikristu coz wengi hufikiri mimi mkristu ila pale tunaposet...
Mimi kama mchungaji kazi yangu ni kufundisha, kushauri, kukemea, na kuonya.
Nimeona watu wengi wanachati sana hapa Jf mpk masaa ya usiku wamanane, sasa kama wewe upo kwenye ndoa muda huo...
Mimi ni Mwanaume wa miaka 34 ninatafuta Mke wa kuoa haraka iwezekanavyo, sina Mtoto dini ni mkatoliki nataka kuoa haraka!
Sichagui Dini wala kabila wala rangi yoyote tu nipo tayari.
Shart ni...
Mimi nashindwa kulewa kabisa watu wanaipinga ukeketaji! Hawaelezi sababu za msingi kabisa za kuzuia Ukeketaji. Kibiologia hauna madhara wakati wa kujifungua. Leo wakati naangalia ITV nimegundua...
1. Majina yao ya ubini hubaki vivyo hivyo siku zote
za
maisha yao.
2. Maongezi yao kwenye simu huhitaji sekunde 30
tu
kulizungumza jambo lililowafanya kupiga simu.
3. Safari yao ya siku 5...
habari wanajf naleta uzi huu kwenu ili tupate kuchangia pamoja ili kupata ukweli wa mambo. nadhani asilimia kubwa ya watu hasa waishio maeneo ya pwani kama dar,morogoro na tanga wanatambua vizuri...
Habarini, mambo zenu wa rika langu shikamooni wakubwa zangu,
Ninalo swali kwenu wanaume wote wa MMU(JF) na naomba muwe wawazi tafadhalini juu ya hili mseme ukweli kabisa kuhusiana na hili, wewe...
Wakuu Leo nimekutana na Dada mmoja alikuwa anauza duka kwa kweli anajisikia sana namuuliza bei ya bidhaa hata aniangalii usoni ananijibu huku akichezea smart phone kazikera mpaka nimeghairi...
I LOVE YOU!!!! (NAKUPENDA)
Mwezi mmoja baada ya kumaliza elimu yangu ya kidato cha sita 2013 huko jijini Mwanza nilirejea nyumbani kwetu Mbeya.......
Nyumbani kwetu nipakawaida sanaa lakini...
Wana jf za mida wapendwa,
nimemuota ucku huu akitamka hivi"nifungulieni wacnikamate tena"
n uncle wangu aliyepotea kwenye mazngra ambayo mpka sasa hakuna mwenye jibu la alipo n mnamo mwaka
2006...
HABARINI ZA WAKATI HUU WANA mmu WOTE. MNAENDELEAJE ??
NI SIKU NYINGI KIDOGO TANGU
NICHANGIE AU KUPOST MADA HUMU JAPO MIMI SI GWIJI WA KUCHANGIA
NA KUPOST KAMA WENGINE LAKINI
YOTE NI MEMA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.