Adhalilika shauri ya kudai usawa ndani ya nyumba!

Adhalilika shauri ya kudai usawa ndani ya nyumba!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Wikiend imekaaje wakuu?

Hii kitu ya kudai haki sawa kwamba kila anachofanya mwanaume, mwanamke nae anataka akifanye!

Sasa mwanaume akavua shati akabaki kifua wazi, na wewe mwanamke unavua ili ubaki kifua wazi halafu ghafla anakuja mgeni! Hahahaha! Acheni hizo, mwanamke ni mwanamke tu! Mbona sisi hatutaki kufanya yakwenu?

Nimeenda kwa jirani hapa nikapiga hodi ile naingia naona shem anakimbilia chumbani, jamaa yeye katulia kifua wazi hana wasiwasi...
 
Nimeenda kwa jirani hapa nikapiga hodi ile naingia naona shem anakimbilia chumbani, jamaa yeye katulia kifua wazi hana wasiwasi..
.

Taarifa muhimu sana , wewe utaendaje kama mvamizi
wa shababy .......
 
Nimeenda kwa jirani hapa nikapiga hodi ile naingia naona shem anakimbilia chumbani, jamaa yeye katulia kifua wazi hana wasiwasi..
.

Taarifa muhimu sana , wewe utaendaje kama mvamizi
wa shababy .......

nilipoambiwa karibu cjasitasita niliingia moja kwa moja.
 
Acheni hizo, mwanamke ni mwanamke tu! Mbona sisi hatutaki kufanya yakwenu?

Kama we hufanyi basi poa, wanaume wenzio wanafanya kama sie tena wanaenda mbali zaidi kwa kutuibia wanaume zetu
 
Acheni hizo, mwanamke ni mwanamke tu! Mbona sisi hatutaki kufanya yakwenu?

Kama we hufanyi basi poa, wanaume wenzio wanafanya kama sie tena wanaenda mbali zaidi kwa kutuibia wanaume zetu
(like)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom