Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau, Katika maisha yangu ni kijana niliyebarikiwa sana na Mungu, niiweke hivyo, nikijana niliye pata kutembea mataifa mengi sana duniani na kujionea mengi kwa kazi yangu hii tu biashara...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Asalaam alaykum ndugu zanguni Waislam amani ya Bwana Mungu iwe juu yenu ndugu zanguni Wakristo kisa cha mazingatio na kimetokea hivi majuzi Amenijia mwana mama mmoja akaniambia Akhy nina matatizo...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Za muda huu wapendwa natumaini muwazima wa afya na mnaendelea vizuri.hebu leo naomba tuajadili hii kuhusu mapenzi,tunajua ni rahisi sana kwa wanaume kuingia katika msisimko kuliko wanawake hii...
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongozaa kila mwanamke? Unakuta anakutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakini bado anang'ang'ania kukutongoza. Badilikeni acheni hizo tabia...
0 Reactions
74 Replies
15K Views
KWA WENYE FIKRA PANA TU BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema...
2 Reactions
65 Replies
10K Views
Jaribu kunitafuta plz mana nashindwa kusoma ajili yako tafadhali. If there one called ilham here find me plz coz niliapa ntampenda mwenye kuitwa jina hlo mana ilham wangu cjui katolokea wap jamani?
0 Reactions
0 Replies
954 Views
NINI UTAFANYA KWA HILI? Mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu, Nina mpenzi wangu na nampenda sana ila sasa kila tukipishana kidogo tu anasisitiza kuachana naye,yani kitu kidogo tu yeye anasema naomba tuachane. Hivi njia laisi ya kumdhibiti...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Habari ya hapa wandugu, Sijabahatika kupata mialko mingi ya sherehe za send off lakini kwa makabila haya niliyotembelea acha niseme yao juu ya zawadi. Zawadi zote binti atakazopewa ni mali yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1.Nothing It means there is Surely Something and You Need to be Worried? 2.Go Ahead This is a dare for you, not permission. Just don?t do it? 3.Whatever A Woman?s way of saying Screw You...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana MMU Leo nimesukumwa nilete mawili matatu hapa, walengwa yatusaidie!! Nianze kwa kudeclare interests, nyingi ya dondoo nitakazoziweka hapa nimekumbana nazo katika harakati za...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Mfano, kaka aliumwa kama siku nne kitandani, mkewe akaniambia,"shemeji kakaako anaumwa hata hatoki ndani, hadi raha!" 2: Mwingine nae "anaumwa hoi, kwani ana ujanja tena?" 3: Wamezoea, sasa...
0 Reactions
104 Replies
12K Views
Mimi ni Samson, Namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila.. Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vipi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?
1 Reactions
83 Replies
16K Views
Habari zenu wana jukwaa. Mimi ni ME nina kazi zangu na maisha yangu hivyo sihitaji faida yoyote ya kifedha ktk hili ninalolisema. Nilifanya utafiti mdogo nikagundua kuwa watu wengi sana ni...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Kila mtu atakubaliana nami kuwa hapa mjini kuna wasichana na wanawake warembo sana wanamiliki magari na maisha mazuri pia wameenda shule, lakini cha kushangaza hapa hawa wasichana pamoja na kuwa...
2 Reactions
476 Replies
46K Views
Yalishanikuta ila Mungu ndo aliye nisaidia kushinda msala huo,Demu alikua anakuja geto namgegeda analala mpaka anapika na kufanya majukumu yote yanayo muhusu mwanamke wa kiafrica,mwanzoni tulikua...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume ila napenda kuwa na marafiki wa jinsia ya kike niwe ninabadirishana nao mawazo, ushauri kuhusu mambo ya kijamii na mambo mengine mengi kadri yanavyotokea katika jamii yetu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa ndio natambulisha jukwaa rasmi hivyo kuwa nimeibukiwa mwenzenu,Haya hayo yalikuwa mazungumzo kabla ya habari. Jamani nisaidieni cha kufanya huyu mtu wangu mpaka sasa tunaenda vizuri.Mwezi...
0 Reactions
77 Replies
11K Views
Hii ni kutokana na research yangu mwenyewe kwa kuongea na wanawake wa rika na status zote, lakini pia masimulizi ya waliowahi kuwa wapenzi wangu lakini pia reports mbalimbali kwa mujibu wa...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom