balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,831
- 15,659
Ni mwanaume nko dar,aliyetayari anpm namba ya simu.
Brazaaaaaaaa!!!! Mwanamke,?? ushauri,?? kweli??
Orait......mi nipo Yaeda......natafuta mshauri kweli kweli......chukua namba........
Ni mtaalamu wa forever living? Au mnashauriana nini hebu uniadd na mie kwenye ushauri
Ni kuhusu vitunguu.......nataka kuanza mradi wa vitunguu mayai.......unavifahamu.......?.......
Ha ha......kwa nini mkuu.....?.....wewe hivyo vitunguu unavipenda......?........
Ni kuhusu vitunguu.......nataka kuanza mradi wa vitunguu mayai.......unavifahamu.......?.......
Ule wimbo wa Bob Marley unaitwa "no woman no cry" in fumbo ujue. Sikiliza hiyo chorus kwa jicho la upembuzi yakinifu utaelewa impact ya mwanamke Ktk maisha yetu wanaume!!kwan haiwezekani mkuu?
Ule wimbo wa Bob Marley unaitwa "no woman no cry" in fumbo ujue. Sikiliza hiyo chorus kwa jicho la upembuzi yakinifu utaelewa impact ya mwanamke Ktk maisha yetu wanaume!!
Kuna vitunguu kama hivyo duniani kweli? Au ndo unataka kuviunda wewe?
Jina sio geni ila sijawahi viona, hivo vitunguu mayai vinalimwa au vinatotolewa?ngoja nami nimpe namba aisee kuna mambo mazuri hapa
Itabidi tuingie lab.......hakuna namna nyingine..........
Ndio GMO tunataka tuizindue..........
Ni mtaalamu wa forever living? Au mnashauriana nini hebu uniadd na mie kwenye ushauri