2nzi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 257
- 230
Nadhani wazima kama mimi!
Ingawa ni mgeni ila kwa upendo wenu mtanipokea kwa ushauri mzuri.
Ni hivi wana Jf kuna haja ya kuendelea kumpigia simu, kum SMS mtu uliyeamua kuachana nae ikiwa ulimtamkia kabisa kuwa "tuishie hapa kimahusiano" kutokana na makosa yake.
Naweza nikawa mshamba kwa kusitisha call na SMS, lakini pia huwa ni woga wa kushawishika kurudi tena hapo nitakuwa nimeeleweka wapendwa.