Wanaume na kukataa mimba zao

Wanaume na kukataa mimba zao

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,193
Nawasalimia,

Kuna hii tabia ya wanaume ambao bado hawajaoa unakuta ana mpenzi wake au ile ya unatongoza tu wasichana kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya uanaume yaani kukidhi hitaji la gegedeo lake unakuta anagegeda mwanamke bila ndom.

Akija kuambiwa nina mimba yako asilimia kubwa ya wanaume hawa huwa hawakubali moja kwa moja, lazima atabisha sana na baadhi yao hukubali baadae ila wengine huendelea kukataa.

Najiuliza, ni wanaume tunakuwa na uoga wa majukumu, tunakuwa tumetegwa hivyo tunakataa kwa mfano unaweza ukabambikizwa mzigo wa mwingine kutokana na kutowaamini wanawake siku hizi au tulikuwa tuko katika raha tu sasa ghafla tunapewa sapraiz?

Je wadhani sababu hasa ni nini? Kama una sababu zingine tupia.

Wanaume, sababu ni nini? Na wanawake mnafikiri ni kwanini wanaume hukataa?
 
we umegegeda mtu siku mbili baada ya kumaliza siku zake afu anakwambia ana mimba yako!!!? sio kila kitu lazima ukubali, vingine vya kuchunguza kwanza....
 
sisi wanaume tunataga utamu tuu na siyo watoto pia condom zinaumiza sana ukivaa,ndiyo mana mimi huwa sivai nagegeda tu na mimba sitaki
 
kama ulikuwa hutaki yatokee hayo kwa nn usitumie kinga....Na sina uhakika kama mwanamke anaweza kukusingizia mimba
 
Mgegedo kea kwenda mbele bila condom. ukipata magojwa usilie tu
 
Wanaume wengi wanapenda kumalizana leoleo tuu, km maziwa wapata yann ufuge ng'o mbe, hatuja jipanga ndiimaana twakataa watoto
 
sisi wanaume tunataga utamu tuu na siyo watoto pia condom zinaumiza sana ukivaa,ndiyo mana mimi huwa sivai nagegeda tu na mimba sitaki
Eeh! Kwa hiyo unagegeda pekupeku na mimba hutaki, inakuwaje? Utamshawishi akatoe mimba?
 
we umegegeda mtu siku mbili baada ya kumaliza siku zake afu anakwambia ana mimba yako!!!? sio kila kitu lazima ukubali, vingine vya kuchunguza kwanza....

Ndo hapo sasa, unamsimamisha kazi huku uchunguzi ukiendelea. uchunguzi lazima.
 
kama ulikuwa hutaki yatokee hayo kwa nn usitumie kinga....Na sina uhakika kama mwanamke anaweza kukusingizia mimba

Tayari nimeshajua wewe ni KE.

Nani asiyewajua wanawake kwa kupenda slop? Kakikuona unajimudu tu, katabeba mimba ya bodaboda huko na kuja kukuletea balaa uje pata mtoto ana miezi miwili tu tayari anapiga kiki, kumbe babaake bodaboda.

Komeni, tena tuanamke tunakobeba mimba hovyo maana yake hatujitambui. Hatujui tarehe wala kalenda
 
kama ulikuwa hutaki yatokee hayo kwa nn usitumie kinga....Na sina uhakika kama mwanamke anaweza kukusingizia mimba

Mwanamke anaweza akatumia jitihada zake kidogo sana kumshawishi mwanaume kucheza bila viatu, alafu ile kitu nyama kwa nyama ni radha ya pekee sasa ukifika mda wa kutoa wale jamaa kuchomoa sio rahisi hata kidogo. Kukojolea ndani ni raha sana, sasa kama mwanamke ni mcharuko si anaweza akakusingizia tu kuwa ni yako ingawa nae hajui nibya nani? Inawezekana.
 
Yani hesabu zinakataa kabisa... hata ka kilaza ila kwenye kuhesabu siku za mwezi attention inaongezeka 😊😊😊

Hahaa..ukilegea unachezewa faulo jua la utosi. Haya mambo bana ya hivi hivi tu
 
Nawasalimia.
Kuna hii tabia ya wanaume ambao bado hawajaoa. Unakuta ana mpenzi wake au ile ya unatongoza tu demu kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya uanaume yaani kukidhi hitaji la gegedeo lake unakuta anagegeda mwanamke bila ndom. Akija ambiwa nina mimba yako asilimia kubwa ya wanaume hawa huwa hawakubali moja kwa moja, lazima atabisha sana na baadhi yao hukubali baadae ila wengine huendelea kukataa.

Najiuliza, ni wanaume tunakuwa na uoga wa majukumu, tunakuwa tumetegwa hivyo tunakataa kwa mfano unaweza ukabambikizwa mzigo wa mwingine kutokana na kutowaamini wanawake siku hizi au tulikuwa tuko katika raha tu sasa ghafla tunapewa sapraiz? Je wadhani sababu hasa ni nini? Kama una sababu zingine tupia.
Wanaume, sababu ni nini? Na wanawake mnafikiri ni kwa nini wanaume hukataa?

Yalishanikuta ila Mungu ndo aliye nisaidia kushinda msala huo,Demu alikua anakuja geto namgegeda analala mpaka anapika na kufanya majukumu yote yanayo muhusu mwanamke wa kiafrica,mwanzoni tulikua tunatumia ndom,baadae akanishawishi kwamba tuache kutumia kwa sababu yeye ni muaminifu na Mimi pekee ndie mpenzi wake wa dhati,basi nikashawishika kutotumia ndom baada ya kujizihilisha kwamba tupo safi,baada ya mwaka mmoja akaniambia ana ujauzito wangu hivi anataka nipeleke barua kwao kabla haijaonekana kwao na kujulikana rasmi kwao kwamba mjamzito.Kama ujuavyo sisi wanaume ni wabishi kukubali mizigo kirahisi kirahisi.Basi tukaendelea kugombana mpaka ikafika miezi 3.Alivyoona kuwa ishu sasa imekua ngumu na mwanaume bado anaendelea kukomaa kwamba ujauzito sio wa kwake,akaamua kwenda ustawi wa jamii kushitaki kwamba nimempa mimba na nimeikataa kwamba hiyo mimba so ya kwangu wakati tulikua tunagegedana kwa muda upatao kama mwaka sasa,Baada ya siku mbili nikaona napigiwa simu na afisa ustawi wa jamii na kunutaka niende ofisini kwao nikajibu mashitaka hayo.kwasababu nilibanwa sana kazini nikaomba niende siku ya pili maana sikuwa na nafasi siku hiyo.Mungu sio Athumami kabla haijafika siku ya pili Nikapigiwa simu na mtu ambaye simjui na ninamba ngeni kwangu.Kwanza kanipa pole kwa hiki kilicho nisibu,pia akaniambia kwamba huyu Binti in jeuli kwa sababu ananipakazia hiyo mimba kuwa ni ya kwangu wakati ni ya kwake,na kunihakikishia kuwa kesho yake atakwenda ustawi wa jamii ili kuona kesi iliyofunguliwa dhidi yangu.Kesho yake asubuh Binti wakahi ustawi wa jamii kama mshitaki tayari kwa kunisubili Mimi kama mshitakiwa.Baada ya nusu saa kabla ya mimi kutinga ustawi,nikapigiwa simu na yule afisa ustawi kwamba pale ofisini kwao pametokea tafrani baada ya Binti kumuona yuke mwenye mzigo wa halari anaingia pale baada ya Mimi mshitakiwa kukawa na vurugu kubwa mpaka binti ilitakiwa anywee kwa kile kwa kuto kuamini kile alichokiona pale ofisini,kumbe kilichofanyika Binti alikua na wanaume zaidi ya watatu na Mimi nikiwa wa nne ,na hao wote walikua wamemzidi umri tena kama babazake,kisa cha kunizingizia in kwamba alikua hana namna kwa sababu wale wanaume walikua wameoa na wanafamilia zao,hivi binti alikua hana namna zaidi ya kunizingizia mimi.Basi Binti toka siku hiyo karidhika mpaka pale alipo jifungua na kumlea mtoto wake na sasa kashafikisha miaka 2 sasa.Kwakipindi hicho nilikua sina maisha mazuri sana kwasababu ndo kwanza nilikua nimeajiliwa kwenye taasisi mojahivi na maslahi yalikua madogo sana.Baada ya mwaka nikawa nimeondoka baada ya kupata kazi sehemu nyingine,nikiwa ofisini nikaona mtu anagonga mlango nikawa nimeitikia kwamba aingie ,alipoingia nikaona Huyo Binti amekuja kuomba kazi kwa sababu tulikua tumetangaza kaz hapo ofisini kwetu.Alipoingia na kuniona Mimi yaani nusu azimie kwa hofu,lakini nilimsisitiza aongee nilichomleta pale ofisini,baada alinieleza kwamba maisha take ni magumu na anaomba kazi ili aweze kuendelea kumlea mwanae maana wale wore waliokua wanamgegeda kipindi akiwepo yule mzee aliyempa mimba wote wamekimbia.Sasa je mdau unashauri nini ,na kama ungekua wewe kama bosi ungefanyaje?
 
Maelezo yako mazuri sana. Nina uhakika wanaume kwa wanawake watapata somo hapa.
Kwa hiyo ulimsaidia kupata kazi? Mi naona uungwana ni kumsaidia tu, maisha yaendelee.
Jf tunajifunza pia kutokana na matukio ya wengine.
 
Back
Top Bottom