Nlikua sijali kuhusu dini but I come to realize swala la udini bado lipo kwenye vichwa vya wasichana wengi.
Nmekuwa na waschana wa kikristu coz wengi hufikiri mimi mkristu ila pale tunaposet malengo na kisha kuamini mi muislam tunaachana. Mimi naishi na kufanya kazi dar (posta).
Umri:26
Nataka sifa zifuatazo
1. mzuri na mwenye akili timamu
2. Age 23-25
3. Anaishi Dar
4. Awe na shughul rasmi kumuingizia kipato
5. Mcheshi, mchangamfu, rafiki
If you are serious PM, it might be a destiny!!!