Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract...
Nimeona wanawake wengi wakiwa na mimba wanakua hawajijali, hawavai vizuri, anavaa chochote anachokiona mbele yake, ikiwemo yale madera ya zamani yaliyochoka, uso unakua umepauka, nywele...
Wakuu habari nawasalimu sana kabla sijaleta hoja hapa ijadiliwe.
Ujio wa simu za kisasa na camera ndogo umerahisisha upigaji picha kama wengi tunavyojua kwa sababu baadhi yetu tunamiliki vifaa...
Habari za hapa?
Mimi ni Mwanaume mwenye umri kati ya miaka 45 na 50,nikiwa nina imani thabiti najitokeza hapa KUTAFUTA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI,Kwa mwanamke aliyeguswa...
Kufuli au kyupi inabeba bacteria wengi sana, cha kushangaza kuna dada zetu vyupi vyao vinaanikwa chini ya godoro na kutengeneza kakiwanda ka funus kasikolipa kodi anika vitu adharani vipigwe jua...
Jamaa ni mfanyakazi,anajiweza,ana mpenzi au wapenzi,lakini anampigia simu mdogo wake (ndugu) aliyeolewa na ana familia yake aende kwake kumsaidia kazi hizo.
WANAUME MNASEMAJE HAPO?
DADA ZETU...
Kuna mambo nashindwa kuyaelewa,Tupo na jamaa bar tunapata mvinyo toka tumefika jamaa alikuwa mkiya sana hajanunua hata round moja
Zaidi yeye yupo busy na simu tu,Mshikaji tupo naye hapa kawapigia...
Hivi kuna uhusiano gani kwa binti aliyesoma mahari yake kuwa kubwa sana? Ni sahihi kweli wazazi kudai mahari kubwa kisa mtoto wao msomi? Hamuoni mnatengeneza mazingira ambayo mabinti zenu wanakuwa...
Nimekuwa nikitafakari utofauti uliopo wakati mtu unaolewa na baada ya kukaa na mwenza wako kwa zaidi ya miaka kumi kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mimi naona kuna utofauti mkubwa sana, yale...
Najua hapa kuna wenye ujuzi na hekima na busara.
Hoja ni jee ikiwa kaka yangu wa baba na mama mmoja ana mke, na ameishi nae kwa miaka zaidi ya tisa lkn hawajapata mtoto. ila huyu mwanamke ana...
Nimejaribu kufanya utafiti wangu mdogo,nikagundua kwamba wanawake walio wengi ambao ni wanene hawajafanikiwa kuolewa.Maswali najiuliza kwanini wanawake wengi ambao ni wanene hawajaolewa?
Nilee mimba ya girlfriend wangu miezi 9 yote na tokea Alhamisi iliyopita nahangaika na madaktari kutokana na kupatwa kwake na uchungu wa kujifungua halafu leo alfajiri ananizalia mtoto ambae...
Natanguliza shukrani.
Mimi ni kijana wa miaka ya 27 nina shahada ya ualimu na ndo kazi yangu, niliyoipata mwaka huu. Tatizo langu wana MMU ni kwamba nimebahatika kuwa na wapenzi 2 kwa vipindi...
Itakuwaje siku ikatokea maisha yako yote yakaonyeshwa mbele ya hadhara ya watu, kila ulilofanya la siri na dhahiri? Mangapi usingetaka yaonekane?
Itakuwaje siku ukaweza kusoma fikra za watu juu...
Habari jamani,
Mimi ni mvulana 28yrs, issue ni hii, ninamchumba wngu ambaye nimeshalipa gharama ya mahali kama robo 3 ila siku hizi nipo karibu sana na huyo mchumba wangu.
Siku moja alikuwa...
ITV wameonyesha habari ya binti wa kihindi aliewaasi wazazi wake na kwenda kufunga ndoa na kijana ambaye baba yake hakumridhia.binti anasisitiza ndoa ni halali ya kiserikali huku mzazi anasema...
Kauli mbiu ya hapa kazi tu, ihamie na kwenye idara ya mapenzi.
Ukiangalia kwa undani sana taifa letu linakosa fedha nyingi za maendeleo kwa mizinga ya kina dada isiyo na kichwa wala miguu.
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.