Natafuta mchumba mwalimu for serious relationship

Sasa kwani hujui walimu wanapatikana wapi? Zungukia mashuleni na utampata mwenye sifa zako! Tena mashule kibao mjini hapa. Anyways, Ukimpata nijulishe na mimi!
 
  • Thanks
Reactions: waj
Sasa kwani hujui walimu wanapatikana wapi? Zungukia mashuleni na utampata mwenye sifa zako! Tena mashule kibao mjini hapa. Anyways, Ukimpata nijulishe na mimi!

😀😀😀 umenichekesha sana mkuu
 
ww mwenyw una kazi gan au kula kulala tu,weka na picha yako
 
Kaka we ni mwanamke mwalimu? Maana hayo na mengine aliye tayari anicheki PM kujua yote! Au na we upo tayari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom