Albert msando yupo wapi ni muhimu

Albert msando yupo wapi ni muhimu

Joined
Oct 30, 2015
Posts
35
Reaction score
5
Nina suala nyeti sana kisheria
Naomba mwenye contact za huyu mwanasheria nguli anipm Albert msando.
Ni muhimu sana pls
 
Kajaa tele kwenye social networks jaribu huko au subiri atakusoma dk zijazo.
 
Nina suala nyeti sana kisheria
Naomba mwenye contact za huyu mwanasheria nguli anipm Albert msando.
Ni muhimu sana pls

Hili litakuwa la kindoa ndoa tu ndio maana umelileta MMU
By the way Yupo hapa JF mfuate PM
 
Kialberto kiduchu duchu kiumbo

Yaani na picha zake alipokuwa chuoni ndio uwa zinanifurahisha.

Pichani anayokaga ka sio mduchuduchu na suti usaidia kumfunika
 
Mkuuu ungemchek instagram account yake, nadhani kwa haraka utampata
 
Back
Top Bottom