Ndoto imenkumbusha machungu niliyoanza kusahau

2nzi

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
249
220
Wana jf za mida wapendwa,
nimemuota ucku huu akitamka hivi"nifungulieni wacnikamate tena"
n uncle wangu aliyepotea kwenye mazngra ambayo mpka sasa hakuna mwenye jibu la alipo n mnamo mwaka
2006 alipofiwa na Baba ake akasafiri kutoka Dar kwenda karagwe-kagera kumzika aliwahi kurudi kabla ya mama akafikia geto kwake baada ya cku 1 akaja om kusalimia na kutujuza kuwa amerudi,iyo ndo cku ya mwisho kwa mim kumuona ilikuwa mwezi wa 12 mwnzni.
Alikuwa na tabia ya kuja om kila j'pl lakin akapitiliza mpaka x-mas hakuja mama akashtuka,aliyekuwa anpafaham alipokuwa amepnga akatupleka kwake palikuwa na mwendo kutoka om wakasema Ana week kadhaa ajaonekana....harakti za kumsaka mahosptalini,tukiwaza labda aligongw na Kufa hazkuzaa matunda,na ndoto zinazomuhus yeye ndo zlipoanza.
kwa kweli hatua zlizochkuliwa baad ya upotevu wake n nying ikiwa na kwenda kanisani tukiwa na pic yake.
N mpole sana kama hujamzoea hawezi kuwa na la ziada baada ya salam,mweuc,mrefu,c mhuni, alikuwa n fund magari maeneo ya "river side"...alisomea driving school bukoba na kuja Dar ili apate riziki alikaa om kwa miaka kama 2 ndo akaamua kujitegemea.
Anaitwa NELSON RAZALO najua hawezi kuwa humu ila kama Una jirani wa ivo au ulikutana nae nijuze plz.
asanteni
 
Aisee... pole sana.

Mungu awasaidie. Ila hizi ndoto hizi...
 
Pole sana kwa kumpoteza huyo umpendaye,ndoto nzuri inategemea Na MTO ulioulalia,ukiona unaota ndoto za ajabuajabu badili MTO.
Nalog off
 
Kama ni Riverside ya Ubungo ndo nyumbani ila sijawahi kumuona huyo Nelson.

Poleni mkuu. Mmejaribu kwenda kwa "wataalam?"
 
Wana jf za mida wapendwa,
nimemuota ucku huu akitamka hivi"nifungulieni wacnikamate tena"
n uncle wangu aliyepotea kwenye mazngra ambayo mpka sasa hakuna mwenye jibu la alipo n mnamo mwaka
2006 alipofiwa na Baba ake akasafiri kutoka Dar kwenda karagwe-kagera kumzika aliwahi kurudi kabla ya mama akafikia geto kwake baada ya cku 1 akaja om kusalimia na kutujuza kuwa amerudi,iyo ndo cku ya mwisho kwa mim kumuona ilikuwa mwezi wa 12 mwnzni.
Alikuwa na tabia ya kuja om kila j'pl lakin akapitiliza mpaka x-mas hakuja mama akashtuka,aliyekuwa anpafaham alipokuwa amepnga akatupleka kwake palikuwa na mwendo kutoka om wakasema Ana week kadhaa ajaonekana....harakti za kumsaka mahosptalini,tukiwaza labda aligongw na Kufa hazkuzaa matunda,na ndoto zinazomuhus yeye ndo zlipoanza.
kwa kweli hatua zlizochkuliwa baad ya upotevu wake n nying ikiwa na kwenda kanisani tukiwa na pic yake.
N mpole sana kama hujamzoea hawezi kuwa na la ziada baada ya salam,mweuc,mrefu,c mhuni, alikuwa n fund magari maeneo ya "river side"...alisomea driving school bukoba na kuja Dar ili apate riziki alikaa om kwa miaka kama 2 ndo akaamua kujitegemea.
Anaitwa NELSON RAZALO najua hawezi kuwa humu ila kama Una jirani wa ivo au ulikutana nae nijuze plz.
asanteni

Poleni sana,najaribu kuhis kias gan mnaumia.ila jipeni moyo mtamuona tena kama si hapa duniani bas huko kweny maisha baada ya kifo
 
Wana jf za mida wapendwa,
nimemuota ucku huu akitamka hivi"nifungulieni wacnikamate tena"
n uncle wangu aliyepotea kwenye mazngra ambayo mpka sasa hakuna mwenye jibu la alipo n mnamo mwaka
2006 alipofiwa na Baba ake akasafiri kutoka Dar kwenda karagwe-kagera kumzika aliwahi kurudi kabla ya mama akafikia geto kwake baada ya cku 1 akaja om kusalimia na kutujuza kuwa amerudi,iyo ndo cku ya mwisho kwa mim kumuona ilikuwa mwezi wa 12 mwnzni.
Alikuwa na tabia ya kuja om kila j'pl lakin akapitiliza mpaka x-mas hakuja mama akashtuka,aliyekuwa anpafaham alipokuwa amepnga akatupleka kwake palikuwa na mwendo kutoka om wakasema Ana week kadhaa ajaonekana....harakti za kumsaka mahosptalini,tukiwaza labda aligongw na Kufa hazkuzaa matunda,na ndoto zinazomuhus yeye ndo zlipoanza.
kwa kweli hatua zlizochkuliwa baad ya upotevu wake n nying ikiwa na kwenda kanisani tukiwa na pic yake.
N mpole sana kama hujamzoea hawezi kuwa na la ziada baada ya salam,mweuc,mrefu,c mhuni, alikuwa n fund magari maeneo ya "river side"...alisomea driving school bukoba na kuja Dar ili apate riziki alikaa om kwa miaka kama 2 ndo akaamua kujitegemea.
Anaitwa NELSON RAZALO najua hawezi kuwa humu ila kama Una jirani wa ivo au ulikutana nae nijuze plz.
asanteni

Mkuu pole sana!
Kama hutojali labda ungetupia na kapicha! Jina linaweza badilishwa ila sio sura! !
Polen sana
 
Badala uweke pc tunaweza kuwa tunamuona mtaani wewe unalia lia tu hapa
 
Hii ni ndoto au tangazo la 'Anatafutwa'?..kama ni tangazo nashauri uweke picha,Daslama ina watu wengi wapole,weusi,warefu na waliosoma driving school..

Pole lakini..
 
Back
Top Bottom