Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Habari msomaji wa uzi huu,
Ni matumaini yangu hujambo.
Karibu kwenye mada...
Leo nitagusia swala la ngono kinyume cha maumbile; vitendo hivyo siku hizi watu wengi wanapenda kufanya ama kushabikia, kuna watu naofahamu ukweli uliofichwa kuhusu tendo hilo na wapo wasiofahamu bali wanafanya tu.
Nimefanya uchunguzi katika majiji makuu ya Arusha na Dar es salaam pia mkoa wa Singida, niliweza kuzungumza nao wanasema wanapenda sana tendo hilo kuliko kufanya mapenzi mahala pake halali.
Na asilimia kubwa wanaopenda tendo hilo ni wanawake ambao wameolewa, baamedi na wanaojiuza (madada poa)
Wengi wanafanya kama tendo kwa kuburudika tu lkn wengine wanafanya kwa imani za ushirikina.
Ukweli uliofichwa ni kwamba kuna uhusiano mkubwa kufanya mapenzi kinyume cha maumbile na mapepo. Roho za mapepo hupenda sana tendo hilo kutokana uchafu uliopo huko mlango wa nyuma.
Wao hupata nguvu zao ya kutimiza malengo yao, ndio maana ukishajaribu tendo hilo kamwe huwezi kuacha, wengi hawajui hilo japo wanajua madhara kiafya tu.
Jihadhari.