Jamani nisaidieni mwenzenu, mtarajiwa wangu anatafuna kama nguruwe

Kaundime2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
1,085
459
Sasa ndio natambulisha jukwaa rasmi hivyo kuwa nimeibukiwa mwenzenu,Haya hayo yalikuwa mazungumzo kabla ya habari.

Jamani nisaidieni cha kufanya huyu mtu wangu mpaka sasa tunaenda vizuri.Mwezi unaenda wa saba sasa naona mambo mazuri tu sasa tatizo ni hapo kwenye kula chakula.

Jamaa sijui anafanyaje uko mdomoni mana ni fyoko fyoko fyoko hapo ndo anatafuna hivyo alafu kwa sauti sasa
yaani hadi kinyaa! chai sasa ka anavuta zile kamasi za kitoto.

Ndio sipati picha marafiki zangu waje natenga chakula si hadi aibu jamani,sasa naanzaje kumwambia sasa ndio mtihani.

Ushauri jamani please nifanyeje?.Ila matusi sipendi
.
 
Hiyo Chai Na Chakula Si Anatafuta Mwenyewe Tatizo Liko Wapi?.Hata Kama Angekua Anakula Kama Paka Si Mtafutaji Mwenyewe.Muache Alifurahie Jasho Lake.Maisha Yenu Ni Maisha Yenu Wageni Hawausiki.
Halafu Hizo Habari Za Kututangazia Kua Kuna Watu WanakuPM Huo Ni Ushamba.Mtu AkikuPM Msikilize Shida Yake.Kama Unaweza Kumsaidia Msaidie Na Mmalizane Uko Uko.Husituletee Habari Hizo Humu Hazituhusu.Sawa Mama?
 
mmmmmh. ni Nani hana kasoro? we mwenyewe una kasoro kibao kwa kusoma thrd yako tu. mtarekebishana taratibu mbele kwa mbele. tulia bibi weeeeeee. machepele meeeeeeengi.
 
Normally when you make a couple wth someone during the first time huwa hamjuani! Na in this world god created human being every one wth his own weakness and not everyone z aware of his weakness! Eg you marry someone who z snoring ni anakoroma ile mbaya hadi majirani wanajiuliza huyo mke wake anapataje usingizi? But yet the wife is happy wth the marriage! Haiwezi kuwa taabu ukisha adopt his weakness na maisha yatasonga! Pia unaweza kuwa sehem ya mabadilikp ukawa unamwelemisha on what z bothering u mwisho wa ck atabadilika! So dont give up best!!
 
go ahead ummwage tu. Kwanza umekosa namna ya kumwambia Mshkaji hata kiutani miezi saba yote. Pili, mapenzi yako ni ya deadline, so inaonyesha unatafuta ndoa tu. tatu, inaonekana una 'viporo' na bado unakaribisha maombi. Just be true to yourself mama
 
go ahead ummwage tu. Kwanza umekosa namna ya kumwambia Mshkaji hata kiutani miezi saba yote. Pili, mapenzi yako ni ya deadline, so inaonyesha unatafuta ndoa tu. tatu, inaonekana una 'viporo' na bado unakaribisha maombi. Just be true to yourself mama

Ana machepele mengi kama mjumbe mkomoja alivyosema hapa!!
 
Kweli kuna watu wanakula vibaya sana wanakera si utani ila nadhan hapa si mahal sahihi ungemwambia tu angebadilika. Na hayo ndio mapenz mnakutana kila mtu ana tabia zake nyingine unamwambia abadilike nyingine unavumilia
 
Aha ha ha ha nimecheka sana, japo si mazuri, hizi huwa ni kasoro tu zipo kwa bahati ya watu hasa wale ambao wazazi au walezi wao hawakuwafundisha na kuwaonya mapema wakiwa watoto, mara nyingi watu wanaotafuna namna hiyo wanatia kinyaa sana na aibu kama mpo na wegeni, au mahala fulani hivi.

nina dogo mmoja hapa home 6yrs anatafuna hivyo, kila siku namkaripia anaacha zen baada ya muda anarudia na mkaripia na amini ataacha tu, kama mtu ajadhibitiwa huku awali ni shida kumbadili sasa, pole sana kwa hilo nakushauri mwambie tena bila aibu jitoe akili na umwambie ndugu lasivyo shame will be in you.

Kuna rafiki yangu binti mkubwa kuzidi mimi anatafuna hadi kero siku ya kwanza nikamvumilia ya pili nikavunja ukimya, shosti jifunze kutafuna vizuri, namna hiyo ni aibu. atajua mwenyew kabadilika au la! bt anapata aibu sana kwa manzi wake. Mpasulie mara kwa mara ataacha, ila kwa heshima na adabu sio nyodo.
 
Madame bhane "eti marafiki zangu wakija watanionaje.??acha usister duu wa kishamba wewe.!!
 
Kaundime wwe haujatumia busara kumuanika mtarajiwa wako kwente jamvi,kwanza unaonekana hauja mpenda jamaa na shida zako ndo zinakufanya uolewe nayeye,wwe unapenda show off na kwakua umrii unasogea na haujapata wa ndoto yako ndo umeamua bora liende na kwa sentesi zako inaonyesha hauja ridhika nae na utakuwa na michepuko ya ndoto zako,acha hizo kama haumpenda achana naeee cyo kujifanya unaomba ushauri hapaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom