TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,344
- 11,027
habari wanajf naleta uzi huu kwenu ili tupate kuchangia pamoja ili kupata ukweli wa mambo. nadhani asilimia kubwa ya watu hasa waishio maeneo ya pwani kama dar,morogoro na tanga wanatambua vizuri neno kigodoro.sasa bwana yanayofanyika kwenye vigodoro ni hatari wake za watu wanamwaga radhi waume zao wanashangilia tu. yanayofanyika pale kwa mtu anayejielewa hawez kumruhusu mkewe aende tena.sasa hapa ninapoishi kuna huyu mpangaj mwenzangu tumezoeana sana ameniomba ushauri kutokana na mke wake kuwa kigodoro addicted je nimshaurij nakaribisha maon na matuc kwa wale wakufunz