Nilikosea au nlikuwa sahihi?

Nilikosea au nlikuwa sahihi?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,030
Habari wanajf,

Mimi nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana.

Baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu wanaishi kwa bibi mzaa mama hasa mimi wa mamdogo akaanza kunisumbua mi kwenye simu ananitongoza na namba yangu hakuwa nayo nikimuliza alikopata anadai katafuta mi nilipoona haelewi.

Baada ya mi kumkatalia na badala yake usumbufu ndo ukazidi nika mblok baada ya kumblok akawa hanipati alivoona hivo akanifuata hadi nyumbani akawa anatuma watoto waje wanite anawambia waje waseme naitwa na rafiki yangu kutoka namkuta yeye.

Mimi nikaamua nikamwambie bibi mzaa mama na mamdogo mwenyewe, sasa tatizo tangu mamdogo aambiwe amenibadilikia nikienda kwa bibi nikimkuta nikimsemesha amekua mkali bila sababu pia ameanza kuniuliza maswali ambayo mwanzo hakua nayo.

Nikienda anaanza kuniuliza bei ya nguo mpka kiatu nlichovaa pia ananiuliza nani kaninunulia.

Jamani kumwambia mamdogo kuhusu mumewe kunitongoza nilikosea au nilikua sahihi?
 
Ulkuwa sahihi kusema ili tabia iache kabsa tatzo mamdogo wako anahc wivu anakuona km umemzd uzuri ndo mana maswali hayamuishi we achana nae ndo tabia zetu watto wa kike
 
The family dramas!
Ulikosea sana, mama mdogo sio rafiki bali ni mzazi. Na ukizingatia kuwa alikuwa ametengana na mumewe.

Kosa limeshafanyika, kuwa rafiki na mama mdogo na uwe mpole huku unaelewa stress zake. Usivunje kabati wakati unaenda kwa bibi na kuwa mchangamfu na muwazi kuhusu maisha yako, kwa mfano kuhusu kazi na kipato pia. Jitahidi kumuona mara nyingi na kumfariji.

Mwisho wa siku jifunze jinsi ya kudili na wanaokutongoza, be firm na ukimpa mtu jibu moja lililonyooka atajua msimamo wako na hatokusumbua tena.
 
The family dramas!
Ulikosea sana, mama mdogo sio rafiki bali ni mzazi. Na ukizingatia kuwa alikuwa ametengana na mumewe.

Kosa limeshafanyika, kuwa rafiki na mama mdogo na uwe mpole huku unaelewa stress zake. Usivunje kabati wakati unaenda kwa bibi na kuwa mchangamfu na muwazi kuhusu maisha yako, kwa mfano kuhusu kazi na kipato pia. Jitahidi kumuona mara nyingi na kumfariji.

Mwisho wa siku jifunze jinsi ya kudili na wanaokutongoza, be firm na ukimpa mtu jibu moja lililonyooka atajua msimamo wako na hatokusumbua tena.

Owk,tatizo mumewe hakuwa muelewa na nlivo mblok akaanza nifuata hadi nyumban nami hapo ikabid tu nifunguke nikamwambie mkewe ingawa tena alipopata taarifa kuwa nimwmwambia mamdogo akadai kwamba ndo nimempa uhuru zaidi wa kuhitaji kuwa na mimi.
 
Habari wanajf,me nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu wanaishi kwa bibi mzaa mama..hasa mme wa mamdogo akaanza kunisumbua mi kwenye simu ananitongoza na namba yangu hakuwa nayo nikimuliza alikopata anadai katafuta mi nilipoona haelew baada ya mi kumkatalia na badala yake usumbufu ndo ukazidi nika mblok baada ya kumblok akawa hanipati alivoona hivo akanifuata had nyumban akawa anatuma watoto waje wanite anawambia waje waseme naitwa na rafik yangu kutoka namkuta yeye,me nikaamua nikamwambie bibi mzaa mama na mamdogo mwenyewe..sasa tatizo tangu mamdogo aambiwe amenibadilikia nikienda kwa bibi nikimkuta nikimsemesha amekua mkal bila sababu pia ameanza kuniuliza maswal ambayo mwanzo hakua nayo,nikienda anaanza kuniuliza bei ya nguo mpka kiatu nlichovaa pia ananiuliza nani kaninunulia..jamani kumwambia mamdogo kuhusu mumewe kunitongoza nilikosea au nilikua sahihi?

Anataka kukutumia ili amuumize mama ako mdogo, zingatia undugu kaa mbali na huyo baba ako mdogo
 
  • Thanks
Reactions: Art
Bado sijaona umuhimu wa kumwambia mama mdogo. Ungemuambia bibi akampigia simu huyo maaluni. Anyways, imeshatokea.

Swali la kizushi: Boyfriend Wako umemuambia?
Owk,tatizo mumewe hakuwa muelewa na nlivo mblok akaanza nifuata hadi nyumban nami hapo ikabid tu nifunguke nikamwambie mkewe ingawa tena alipopata taarifa kuwa nimwmwambia mamdogo akadai kwamba ndo nimempa uhuru zaidi wa kuhitaji kuwa na mimi.
 
Hata mimi sipendi kamwe Manzi aniambie watu wanaomtokea, sidhani hata kama tutaendelea. Them kinds just turn me off.
 
Jiamin na maanisha kile unachosema au kujibu hususan unapotongozwa,kosa lipo kwa kumwambia mamako kimtazamo wa kiume umemuhalalishia yy kuendelea kukufuatilia na mbaya zaidi uelewa wa mamako pia nao ni tatizo na utaendelea kuharibu mahusiano yenu kama mama na mwanae,jambo la kufanya ili mahusiano yenu yawe sawa tena nikukaa na mamako na kumthibitishia kwa maneno na matendo kuwa huna mahusiano yoyote na huyo mwanamme maana kinachomsumbua mamako ni kuhisi labda ulimzuga tu kwa kumwambia unafuatiliwa kumbe mwabanjuka
 
Ulikuwa sahihi kuwaambia...the rest inategemea mama yako mdogo kichwa chake kina matumizi gani . .
 
kutongozwa kwa mwanamke suna tatizo kukubali na sio kila akutongozae useme
 
Ona sasa kihelehele kimekuponza yani Hugo mama mdogo tayari ameshajua ww ndio chanzo cha yy kutengana na mumewe
 
Ungemwambia tu bibi yako amweleze mamdg wako na kumwonya huyo aliyekuwa mumewe.
 
Kuna ID mbili naziona zina take over now
 
kosa ni kumwambia mama ako mdogo...jambo la busara lilikuwa ni umwambie bibi yako then bibi yako awasiliane na huyo baba mdogo ampe makavu yake ya kutosha kabisa am sure asingerudia tena
 
kutongozwa kwa mwanamke suna tatizo kukubali na sio kila akutongozae useme

Sio kwamba kila anaenitongoza nasema lahasha but hapa ilinibidi niseme baada ya huyu bamdogo kuanza hadi kunifuata nyumbani na kuwatuma watoto waje waniite na haambilik yani sio mwelewa kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom