Agricola Gerald
Member
- Nov 25, 2015
- 93
- 6
Habarini...hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi kuishi pamoja kabla ya kuoana lets say ile mwanamke anaenda kwa mwanaume anakaa hata mwezi sometime mwanaume anaenda kwa mwanamke nae anakaa even week!