Habari wanajf,
Kwanini nowdays wanaume watu wazima ambao wengi wao wapo ndani ya ndoa wameshika kasi ya kutongoza mabinti wadogo ambao wengine ni sawa na watoto wao wa kuwazaa kabisa, kitu gani...
Habari wanajf,
Mimi nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana.
Baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu...
Habarini...hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi...
Kama huna moyo wa chuma, usioe ndoa inataka wanaume sio wavulana.
Ndio mana ndoa nyingi siku hizi hazidumu pia biblia inasema enyi wanaume ishini na wake zake kwa akili otherwise ndoa...
Salaam wana MMU,
Uchumba mwingi na hata ndoa zinavunjika kila siku na sababu kubwa ikiwa ni madai ya watu kutokuendana kitabia.
Basi wana MMU tutumie nafasi yetu kuorodhesha hizo tabia...
Vipi wadau?
Siku nyingi ila si kwa ubaya. Kazi ndio zimekuwa kibao.
Nina huyu workmate ambaye bado hajaoa, hivi juzi juzi alipata demu kitu kipya ambacho anataka kukioa. Tatizo ni kwamba...
Mimi ni mwathirika wa kufanya mapenzi wa usiku,i la nikimaliza tu kupiga bao moja, usingizi huwa unapotea kabisa.
Hivyo naombeni msaada nifanyeje ili niwe napata usingizi baada ya kupiga bao.
Leo nilkua na shost yangu fulani hivi sasa katika mazungumzo yetu akaanza nipa stori za chumbani, akadai ye kuna mpenzi wake mmoja ambaye hata amfanyie nini hawezi kumwacha.
Ikabidi nimuulize...
Ni stori ndefu, naomba isiwachoshe kusoma. Iko hivi:-
Mimi ni mtumishi serikalini. Ni mtu mzima nikiwa na miaka 36. Siku moja nikiwa safarini kwa basi nikitokea Morogoro seat jirani yangu...
Habari ndugu zangu wanajamii forum
Leo jamani ngoja mnisadie kuhusu hili.Nina mpenzi wa kichaga niliyempata hapa moshi mwaka jana tatizo kubwa hayuko romantic kabisa muda wote anazungumzia...
Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni.
Tatizo sio wao kupambana bali problem iko hapa:
Wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake...
Hata bila utafiti inaonyesha tatizo la nguvu za kiume linakua, sababu ni ugumu wa maisha, waichana wakali wanachukuliwa na watu wenye uwezo wale reject ndo tunagawana sie huku walala hoi.
Sasa we...
Kuzaliwa wote wanaume nyumbani sometimes inaboa kwa kweli. Katika ukoo wetu tuna uhaba wa jinsia ya Ke, yaani wote sisi ni wanaume.Mama kwao yeye pekee ndio wa kike ndugu zake wote 7 ni wanaume...
Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu.
Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu.
Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe...
Habari ba ndugu, wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama...
Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa...
Habari....hiko hivi unakuta binti ana mpenzi wake nae huyo mpenz wake anaishi kwao au kajipangia geto lake..asa binti kapewa chumba cha nje hapo basi inakua kama kapewa uhuru binti anasubiri watu...
Ni vigumu sana kwa binadamu wa kawaida kuukwepa aisee...lakini inatokeaga unakuta huna namna inakubidi tu udanganye tu ili uokowe jambo/hali/kitu fulani,
Japo walisema ukweli utakuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.