Wanawake na matusi

Wanawake na matusi

Liss Liss

Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
37
Reaction score
2
Habari ba ndugu,

Wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama kuna maisha baada ya kutofautiana,, ikitokea wamepatana inabaki aibu tu na maombi ya msamaha mengi lakini unakua ushajitia doa,,ladies hata kama umekosewa tumia busara usitukane coz kuna maisha hata baada ya kuachana.

Nice sun day guyz
 
Ukiona mtu anatukana mitusi hayo mahusiano keshayakatia tamaa
 
Habari ba ndugu, wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama kuna maisha baada ya kutofautiana,, ikitokea wamepatana inabaki aibu tu na maombi ya msamaha mengi lakin unakua ushajitia doa,,ladies hata km umekosewa tumia busara usitukane coz kuna maisha hata baada ya kuachana,, nc sun day guyz

Ndio umeandika nini hapo
 
Wanawake wana midomo michafu sana, yaani kidogo tu anashusha maneno mazito to the extent mimi ninaetukanwa naona aibu yaani.
 
Wanawake wana midomo michafu sana, yaani kidogo tu anashusha maneno mazito to the extent mimi ninaetukanwa naona aibu yaani.

Owh umemcoclude na mama yako shangazi dada zako Bibi zako pia au wanawake gan unawazungumzia? Nasema sio wote hata wanaume japo s wote nao wanamidomo michafu Sana Sana Kuna Uzi flan niliwah kuweka hapa Nina ndugu yangu alimpenda mwanaume to the maximum. Alikua akitukanwa Sana na hiyo bf wake ikafikia hatua matusi yakaongezeka kiwango bi dada ndo kapenda na hashauriki so hata nyie wanaume mna midomo michafu kamaa choo cha stendi JAPO SIO WOTE.
 
kweli kabisa,yaani mibinti ya siku hizi ina midomo michafu...halafu shape zenyewe hawana,basi shida tupu!,

utakuta kajitu kembamba kama njiti,eti nako kanakutukana,dah!
 
Kuna makosa ukifanya ni bora utukanwe tu yaishe, maana ukinyamaziwa kimya inaumiza zaidi.

Mi ni bora nitukanwe kuliko apige kimya aisee.
 
Kimsingi mwanamke hatakiwi kutukana kabisa, no matter what. Moja ya sababu, ni kuwa matusi mengi yanamu-abuse mwanamke. So, mwanamke anayetukana mara nyingi hajiheshimu. Kama hujiheshimu, hustahili heshima.

Rev. Paulo
 
Kuna makosa ukifanya ni bora utukanwe tu yaishe, maana ukinyamaziwa kimya inaumiza zaidi.

Mi ni bora nitukanwe kuliko apige kimya aisee.

Hakuna kitu napenda kama kukaa kimya pale napokuwa nimekwaza vyovyote vile obmajuh tumeanza!
 
Hakuna kitu napenda kama kukaa kimya pale napokuwa nimekwaza vyovyote vile obmajuh tumeanza!

Aisee kuna kosa ukimfanyia mtu akakaa kimya kisaikolojia unaumia sana, siyo atukane mbele ya watu no, ila ni bora atukane yaishe. Maana akikaa kimya nakuwa nawaza anachotaka kufanya kiasi kwamba naweza kuishi bila amani.

Obmajis eesia, ailagnaan isak ay Ilufugam akapm akemetetan.
 
Hahaha uteznew aziluut awukuil ipaw adm etow augahcmuk isiar uyuh

Yeah kimya kinaumiza Sana Sana
 
Owh umemcoclude na mama yako shangazi dada zako Bibi zako pia au wanawake gan unawazungumzia? Nasema sio wote hata wanaume japo s wote nao wanamidomo michafu Sana Sana Kuna Uzi flan niliwah kuweka hapa Nina ndugu yangu alimpenda mwanaume to the maximum. Alikua akitukanwa Sana na hiyo bf wake ikafikia hatua matusi yakaongezeka kiwango bi dada ndo kapenda na hashauriki so hata nyie wanaume mna midomo michafu kamaa choo cha stendi JAPO SIO WOTE.

Aiseeee.....😕
 
Back
Top Bottom