Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mwathirika wa kufanya mapenzi wa usiku,i la nikimaliza tu kupiga bao moja, usingizi huwa unapotea kabisa. Hivyo naombeni msaada nifanyeje ili niwe napata usingizi baada ya kupiga bao.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Leo nilkua na shost yangu fulani hivi sasa katika mazungumzo yetu akaanza nipa stori za chumbani, akadai ye kuna mpenzi wake mmoja ambaye hata amfanyie nini hawezi kumwacha. Ikabidi nimuulize...
0 Reactions
70 Replies
35K Views
Ni stori ndefu, naomba isiwachoshe kusoma. Iko hivi:- Mimi ni mtumishi serikalini. Ni mtu mzima nikiwa na miaka 36. Siku moja nikiwa safarini kwa basi nikitokea Morogoro seat jirani yangu...
9 Reactions
128 Replies
14K Views
hi, naitwa rafa natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae... nipo morogoro...pm me if ur interested
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wanajamii forum Leo jamani ngoja mnisadie kuhusu hili.Nina mpenzi wa kichaga niliyempata hapa moshi mwaka jana tatizo kubwa hayuko romantic kabisa muda wote anazungumzia...
3 Reactions
64 Replies
9K Views
Ivi ni kweli kwamba wanaume wengi hawawaoi wapenzi wao wa mda mrefu? Na matokeo yake kuwaacha na kuoa msichana mwingine Na sababu huwa ni nini?
0 Reactions
174 Replies
21K Views
Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali problem iko hapa: Wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Hata bila utafiti inaonyesha tatizo la nguvu za kiume linakua, sababu ni ugumu wa maisha, waichana wakali wanachukuliwa na watu wenye uwezo wale reject ndo tunagawana sie huku walala hoi. Sasa we...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Kuzaliwa wote wanaume nyumbani sometimes inaboa kwa kweli. Katika ukoo wetu tuna uhaba wa jinsia ya Ke, yaani wote sisi ni wanaume.Mama kwao yeye pekee ndio wa kike ndugu zake wote 7 ni wanaume...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu. Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu. Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari ba ndugu, wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Habari....hiko hivi unakuta binti ana mpenzi wake nae huyo mpenz wake anaishi kwao au kajipangia geto lake..asa binti kapewa chumba cha nje hapo basi inakua kama kapewa uhuru binti anasubiri watu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ni vigumu sana kwa binadamu wa kawaida kuukwepa aisee...lakini inatokeaga unakuta huna namna inakubidi tu udanganye tu ili uokowe jambo/hali/kitu fulani, Japo walisema ukweli utakuweka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Live today as if there is no tomorrow. Uzee si kitu chema, ni muda wa maradhi mengi, uchovu mwingi, majuto tele,... Aah, better to live to the maximum, don't let a day go without enjoying...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wana MMU.. Nahitaji kusikia kutoka kwa watu wenye experience kama maisha baada ya divorce kwa wanawake yakoje.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima katika familia yangu naenda kutoa maamuzi yafuatayo:-moja,nitafuta sherehe zote ambazo zilitakiwa kufanyika na kusherehekewa nyumbani kwangu kuanzia za...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nisiwachoshe, iko hivi: Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa...
0 Reactions
109 Replies
11K Views
Wanaume tumekuwa watu wa ajabu sana tofauti na wadada, mdada yupo open na ni rahisi sana kumjua kama huyu ni wa kupita tu au ni wa kudumu naye. Men tupo tofauti tuna mbinu zaidi ya 73 za kuficha...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wana jf,mi nina shost yangu huyo shost alikua na jamaa yake ambaye wamedumu miaka 2 katika mahusiano yao jamaa alionesha kumpenda sana shost pia shost alimpenda sana jamaa na kila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom