Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeshtuka kugundua kuwa Rafiki ya wakaribu amefunga ndoa na dada poa mmoja tuliekua tumezoea kumnunua kwa nyakati tofauti, huyu jamaa alikua workmate wangu na tulishibana sana, tulipenda sana...
0 Reactions
75 Replies
55K Views
Hua sipendi kuvaa chupi au singlend, mke wangu hana shida nishamueleza kua sioni umuhimu wa kuvaa zaidi ya joto na vipele vilevile joto likizidi uzalishaji wa mbegu huathirika shida inakuja...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni jina la wimbo wa bongo flava ulioimbwa na Baraka na Ruby ukiusikiliza kwa utuvu utaona ni namna gani mapenzi bila pesa yanakuwa magumu.Kijana analilia penzi kwa mpenzi wake ambaye anatoka na...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni ajabu sana kwa miaka hii una weza kua na mpenzi, mchumba au mke ambae wote mnakua wababe. Kitu ambacho zaman ilikua tofauti, tuna fahamu fika kuwa mwanamke ameumbwa kuwa mnyenyekevu nahisi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi...
6 Reactions
89 Replies
21K Views
Wadau, Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga...
3 Reactions
103 Replies
9K Views
wanajf na watanzania kwa ujumla nawakumbusha kale ka mchezo wa madada zetu wanaojiuza, wanapaka dawa knye maziwa ukinyonya kidogo tu kwisha habari yako atakusasambua kila kitu hadi chupi wanabeba...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Hamjambo wana jg nami nimejitokeza kutafuta mwenza wa kike naomba nisisitize wa kike maana kuna watu sijui hawafaham au hawaelewi atakupigia simu mtu nimeona text ktk jf unatafuta mwenza sawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Wanawake wengi siku hizi wamekua wakitoka nje ya ndoa kwa kisingizio kua waume zao wamekua wakitoka na wanawake wengine.Hii tabia imekithiri sana kwa baadhi ya wanawake wengi...
1 Reactions
113 Replies
12K Views
Naona hawa wazungu wanatuzidi kila sasa mpaka mapenzi! Mtoto wa kizungu ukimwambia i love you atakujibu hapo hapo kama ni yes au no hakuna kusumbuana! Mtoto wa kibongo atakujibu nipe mda(hapa...
0 Reactions
49 Replies
15K Views
Nipo Dar lengo awe ana nipa msukumo wa kusaka chapaa maana nimekua mzembe sana nowdays sina kigezo ili mrad awe na matiti na uke tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndug zangu nawasalimia, Mwenzenu nimejikuta ghafla nataka kuwa baba makusanya ni kuwa baada ya wife kupata mtoto wa kwabza tulijipa muda angalau dogo afikishe 5yrs ili tuongeze mwingine hivyo...
0 Reactions
111 Replies
13K Views
Habari za mchana! Mimi ni binti nina miaka 25 nina mwenzangu ambaye sina mda mrefu nae, tuna kama miezi mitatu kwenye mahusiano yetu na nimetokea kumpenda ghafla. Kinachonishangaza mwenzangu...
0 Reactions
220 Replies
21K Views
Wana jamvi salaam zenu, Nina mchumba wangu ambae mwishoni mwa mwezi huu tutafunga ndoa mipango inaendelea kufanyika. Uchumba wetu umekutana na vikwazo vingi, eti kwa kuwa Mimi nina miaka 34 na...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Mimi niki kijana mwenye umri wa miaka 26 naishi mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu full aina ya vyakula pande izi Nataufuta binti wa kuoa aliyeko mahali popote katika Tanzania hii Kama uko tayari...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi inawezekana kwa maisha ya leo kuwa na girlfriend bila kuwa na pesa ya kumhudumia kweli? Namaanisha akija unakula papuchi free of charge akupigi mizinga na maisha yanaenda? Ninauliza...
1 Reactions
84 Replies
9K Views
tupeane ujuzi kidogo wanajukwaa kwa wazoefu wa haya mambo kwani nikikaa na watu walio oa wengine utawasikia kuwa hakuna ndoa ya democrasia inayodumu kwani wao wanaamini ndoa inaendeshwa kidicteta...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
I wonder especially mambo yanayoendelea Dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hiv hua mnajisikiaje unakuta mwanaume anakua na wanawake wengi na wote anadanganya atawaoa? Kwani ukipita kila kona ya mji ni yeye na wanawake kila bar anakoenda lazima anaye na safarini anaye...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Jamani msaada tafadhari, mimi ni kijana mdogo( nunda flani ivi) katika pilikapilika zangu za apa na pale,nimetokea kupita na tudemu twingi tu...ila hakika sijawahi kupenda(huwa napiga na...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Back
Top Bottom