Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Huyu jamaa yangu aliyekuwa anajiita kidume cha mbegu yaani kila akiona kichaka kabanwa. Nilimshauri sana ila ndio sikio la kufa na pia kunizidi umri ikajenga dharau za kusema wewe bado bwanamdogo hujui utamu wa wake za watu.
Siku ya kufa nyani hata nyasi huteleza kwani pamoja na umaarufu wake wa kuchombeza wake za wenzie hadi wakamwita dawa ya babu nakumbuka alimtia najisi mke wa rafiki yake mkubwa mangi siku moja kabla ya harusi tena yeye akiwa msimamizi, sitoweza kusimulia masaibu yote ila kwa kifupi alikuwa mchafu.
Siku ya tukio ambalo liliandaliwa na wahanga watatu walioliwa matunda yao walimnywesha mipombe ya ofa kisha wakaondoka mapemaa kuweka kumbukumbu sawa, loooh! kumbe lilikuwa tego maana hakusogea mbali vijana wa kazi wakamchana marinda kwa vijana wa sasa mnasema wakatumia mtandao pendwa kisha kumbukumbu za nguo za ndani wakampelekea mkewe.
Tangu hapo jamaa ameacha pombe, wake za watu wamekuwa sumu, mabinti wanaochepuka wamekuwa shoti ya umeme. Mkewe amefurahi sana kwani tangu ameolewa na huyu mluo hakuwawi kuonja utamu wa mume ila sasa mume maskani yake home mwaka wa 4 sasa.
Tunajifunza nini? Ndoa ni nadhiri na kwa wale wajuzi wa nadhiri wanajua kwamba nadhiri haivunjwi na mwingine zaidi ya walioiweka, sasa wewe ni nani ukatafune papuchi ya watu yenye nadhiri ya kutumiwa na mtu mmoja peke? Wanaume mabazazi msiotishika na honi ya treni kuna siku hata kengele ya baiskeli itakushtua kiasi cha kupata presha."""Kama njia kuu ina foleni basi huko kwenye michepuko hakikisha umejiandaa kisaikolojia maana ni kama kujenga kwenye hifadhi ya barabara au ukweni.""""
Karibuni ndugu tuokoe kizazi hiki maana hali ni mbaya.Nitafurahi kama kuna mwenye tukio la kushabihiana ili nisionekane nawazibia vijana rizki.