Nihitaji mwanamke wa kuowa, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiliwa katika kampuni moja ya fedha hapa Dar, mashart awe mweusi, mnene wastani na mrefu wakati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda...
Habar! Wanajamii forum ni iman yangu kuwa hamjambo.
Naitwa ibrahim mm ni mwalim mwalim wa shule ya msingi nimeanza kazi mwaka jana....umri wangu ni miaka 25.
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa...
Habari wana JF! Kifupi tu natafuta mke. Imani yangu ni kuwa mahusiano yanaweza anzia popote na kujengwa kama kuna nia ya dhati.
Natambua wako watakao beza post hii lakini si matarajio yangu.
Kwa...
Wapendwa Kristu! Tumaini letu.
Naombeni ushauri juu ya hili maana nimeona wengi wakileta shida zao na hupewa ushauri mtu. Hata nami nitapewa ushauri wa dhati kabisa.
Mimi ni kijana ambaye nina...
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia...
Ni miaka thelathini sasa imepita tangu baba wa familia aiache familia yake na kua chini ya warithi wengine waliokua hawana uchungu tena na familia kutokana na kuto jua thamani yake au kwa kutaka...
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.
Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki...
Jamani wasukuma kwanini mabinti weupe mnawageuza dili la kupatia pesa? Yaani mzee akiwa na mabinti wawili moja mweupe na mwingine mweusi, akiwaozesha basi binti mweupe mahari yake itakua milioni 4...
Kuna kitu hamkijui ladies. Ngoja leo niwaambie na nasema hapa nitatumia mfano halisi kilichotokea earlier this week ili muelewe zaidi kwasababu ni muhimu na pia inaendana na kauli mbinu ya JPM...
Natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo umri kuanzia miaka 18-30 bila kujali elimu cha msingi ni kubadilishana mawazo kama yatakuja mengine ni baada ya kufahamiana, kwa...
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezikumuangusha anaCOMPOSE meseji tamu ambayo kila danga...
Naomba nitangulize kwa kusema kwamba kuna mambo mengi sana yanayochangia kwenye kuvuruga uhusiano wa kwenye ndoa. Kudanganya, kusaliti, uongo na mengine ni vitu ambavyo ni vya kawaida sana...
Weekend nilivuka (Chepuka) kwenda Vijibweni kama kaka Kaizer alivyonishauri. Pale getini fery kama ukiwa unaenda kwenye kile kimgahawa kwa nyuma ndiko niliko vikuta hivyo vitu. Nilivutiwa kwa...
Naomba kuelimishwa; kwa mila na desturi za Kiafrica, ni sahihi kupigana mabusu au wengine huwa mpaka wanapeana denda mbele ya wakwe zao, nauliza ni sahihi? Nisije nikaaibisha ukoo wangu please.
Yaani ninaamini ya kwamba kila mmoja angekuwa na Uhuru wa kushika simu ya mpenzi/ Mume/ mke, naona ingesaidia kwa 87% kupunguza michepuko, kwani MTU akijua hii simu yangu mke/ Mume wangu anaweza...
Huyu jamaa yangu aliyekuwa anajiita kidume cha mbegu yaani kila akiona kichaka kabanwa. Nilimshauri sana ila ndio sikio la kufa na pia kunizidi umri ikajenga dharau za kusema wewe bado bwanamdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.