Wadau,
Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga...
wanajf na watanzania kwa ujumla nawakumbusha kale ka mchezo wa madada zetu wanaojiuza, wanapaka dawa knye maziwa ukinyonya kidogo tu kwisha habari yako atakusasambua kila kitu hadi chupi wanabeba...
Hamjambo wana jg nami nimejitokeza kutafuta mwenza wa kike naomba nisisitize wa kike maana kuna watu sijui hawafaham au hawaelewi atakupigia simu mtu nimeona text ktk jf unatafuta mwenza sawa...
Habari wana Jf,
Wanawake wengi siku hizi wamekua wakitoka nje ya ndoa kwa kisingizio kua waume zao wamekua wakitoka na wanawake wengine.Hii tabia imekithiri sana kwa baadhi ya wanawake wengi...
Naona hawa wazungu wanatuzidi kila sasa mpaka mapenzi!
Mtoto wa kizungu ukimwambia i love you atakujibu hapo hapo kama ni yes au no hakuna kusumbuana!
Mtoto wa kibongo atakujibu nipe mda(hapa...
Ndug zangu nawasalimia,
Mwenzenu nimejikuta ghafla nataka kuwa baba makusanya ni kuwa baada ya wife kupata mtoto wa kwabza tulijipa muda angalau dogo afikishe 5yrs ili tuongeze mwingine hivyo...
Habari za mchana!
Mimi ni binti nina miaka 25 nina mwenzangu ambaye sina mda mrefu nae, tuna kama miezi mitatu kwenye mahusiano yetu na nimetokea kumpenda ghafla.
Kinachonishangaza mwenzangu...
Wana jamvi salaam zenu,
Nina mchumba wangu ambae mwishoni mwa mwezi huu tutafunga ndoa mipango inaendelea kufanyika.
Uchumba wetu umekutana na vikwazo vingi, eti kwa kuwa Mimi nina miaka 34 na...
Mimi niki kijana mwenye umri wa miaka 26 naishi mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu full aina ya vyakula pande izi
Nataufuta binti wa kuoa aliyeko mahali popote katika Tanzania hii
Kama uko tayari...
Hivi inawezekana kwa maisha ya leo kuwa na girlfriend bila kuwa na pesa ya kumhudumia kweli? Namaanisha akija unakula papuchi free of charge akupigi mizinga na maisha yanaenda?
Ninauliza...
tupeane ujuzi kidogo wanajukwaa kwa wazoefu wa haya mambo kwani nikikaa na watu walio oa wengine utawasikia kuwa hakuna ndoa ya democrasia inayodumu kwani wao wanaamini ndoa inaendeshwa kidicteta...
I wonder especially mambo yanayoendelea Dar, hii nimeiona sana kwa akina dada wengi wanavyotapeliwa mjini. Nowdays manabii wamekuwa wengi wengine wanamakanisa wengine hawana. Wahanga wa kutapeliwa...
Hiv hua mnajisikiaje unakuta mwanaume anakua na wanawake wengi na wote anadanganya atawaoa? Kwani ukipita kila kona ya mji ni yeye na wanawake kila bar anakoenda lazima anaye na safarini anaye...
Jamani msaada tafadhari, mimi ni kijana mdogo( nunda flani ivi)
katika pilikapilika zangu za apa na pale,nimetokea kupita na tudemu twingi tu...ila hakika sijawahi kupenda(huwa napiga na...
Habari wakuu!!
Naandika uzi huu nikiwa na majonzi na hasira tele juu ya jamaa mmoja aliyenidhurumu ela zangu..
Naomba niwaaadithie japo kwa kifup tu mpate kujua nn kimenisababisha kufikia...
Wana MMU,
Kwa niaba ya familia yetu, nimekuja kuomba ushauri wa kumahauri huyu ndugu yetu Kaka Mkubwa.
Kwa kifupi ni kaka yetu mkubwa ana miaka 37 bado hajaoa na wala hana mtoto, kiuchumi...
Katika kitu nacho kishuhudia ni wanawake wengi kuishi kwakuwa tegemezi hata mchepuko unakaa ukilutegemea kumtatulia matatizo yake wakati wewe ni one night stand na hata akijua una mtu hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.