Natafuta Mke

Natafuta Mke

kifombocheza

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
97
Reaction score
28
Habari wana JF! Kifupi tu natafuta mke. Imani yangu ni kuwa mahusiano yanaweza anzia popote na kujengwa kama kuna nia ya dhati.
Natambua wako watakao beza post hii lakini si matarajio yangu.
Kwa binti aliye serious tuwasiliane.


SIFA ZANGU
Umri: 30
Elimu: M.A
Dini:Mkristo.
Kazi: Mhadhiri Msaidizi
Kabila: Mkwaya (Musoma-Mara)
Makazi: Iringa/Dar


SIFA ZA MKE NIMTAFUTAE;
Umri:24-
Elimu: yoyote.
Dini: yoyote
Kazi: yoyote
Kabila:lolote
Makazi:awe anaishi Iringa/Mbeya/Dar/Zanzibar
 
Oooh haya ngoja waje na vile huna makuu watakuja tuu PM ila kwnye ndoa tualike
 
anambie nije kukupambia kwenye harusi yako nikufanyie design ya kikawaida mkuu
 
Nyie si ndo mnaipiga dada zetu mpaka mnawapasua aisee watakuja kweli
 
Kuna mjane mtaani, ngoja nikupiganishie huyo atakufaa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom