Safari ya Vijibweni: Nazi, Muhogo mbichi pamoja na karanga mbichi

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
Weekend nilivuka (Chepuka) kwenda Vijibweni kama kaka Kaizer alivyonishauri. Pale getini fery kama ukiwa unaenda kwenye kile kimgahawa kwa nyuma ndiko niliko vikuta hivyo vitu. Nilivutiwa kwa sababu kila kijana aliyekua anapita nilimuona anainama anarusha coin alafu anaokota na kuendelea na safari, nikasema kwa nini nisijaribu na mimi.......Heh, ni balaa. Kaizer wanakusalimia sana wanasema siku hizi umepotea. Nilipata fursa ya kwenda mpaka kwenye daraja kwa kweli panavutia.
 

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,499
2,000
kweli bana kuna wadada wanuza hapa, hawa maaskali wananunua sana .
sijui ni kweli maana sijawahi tumia hii kitu!
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,357
2,000
Ni nazi sema huwa imekomaa kupitiliza...sasa ukitaka kujua balaa lake tumia kwa muda wa wiki mbili mvululizo then andaa pambano na kabla ya pambano hakikisha umekula vizuri.
Hapo umejiandaa kwa pambano la wiki mbili alafu 2 days before akasema atakuja inafika siku ya tukio ana safiri
 

salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,444
1,225
Weekend nilivuka ( Chepuka) kwenda Vijibweni kama kaka Kaizer alivyonishauri. pale getini fery kama ukiwa unaenda kwenye kile kimgawa kwa nyuma ndiko niliko vikuta hivyo vitu.........Nilivutiwa kwa sababu kila kijana aliyekua anapita nilimuona anainama anarusha coin alafu anaokota na kuendelea na safari......nikasema kwa nini nisijaribu na mimi.......Heh. ni balaa. Kaizer wanakusalimia sana wanasema siku hizi umepotea......nilipata fursa ya kwenda mpaka kwenye daraja kwa kweli panavutia.

Kwakweli ma great thinker wa humu jf ni michosho kabisa
 

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
kweli bana kuna wadada wanuza hapa, hawa maaskali wananua sana .
sijui ni kweli maana sijawahi tumia hii kitu!

Fanya hima utumie mkuu........ni balaa. unapiga hata tano na zote zinatoka cream.
 

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,566
2,000
Kwakweli ma great thinker wa humu jf ni michosho kabisa
umekula?
10262165_1418047361797668_4309840260190279128_n.jpg
 

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
kweli bana kuna wadada wanuza hapa, hawa maaskali wananua sana .
sijui ni kweli maana sijawahi tumia hii kitu!

Ni kweli mkuu nilinunua kwa hao hao wadada.........jana wakati narudi kutoka huko nilienda kuwacheki sikuwakuta......nikazuga kama naenda kule chooni nikazunguka sikuwaona.....walah ningebeka karai Zima.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom