rubylove
Senior Member
- Jun 1, 2015
- 127
- 42
Yaani ninaamini ya kwamba kila mmoja angekuwa na Uhuru wa kushika simu ya mpenzi/ Mume/ mke, naona ingesaidia kwa 87% kupunguza michepuko, kwani MTU akijua hii simu yangu mke/ Mume wangu anaweza kukuta SMS mbaya na ikasababisha ugomvi, atakuwa makini sana na taratibu taratibu anaacha michepuko.
Ni mtazamo wangu
Ni mtazamo wangu