SIRI KUMI ZA NDOA
1. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA UDHAIFU WAKE*
Mugu pekee ndio haana udhaifu, Kila ua waridi lina chimbuko lake.
2. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA HISTORIA YAKE MBAYA*...
Mimi ni Mwanaume
Umri: Miaka 29
Elimu: Degree
Kazi: Employed
Dini: Mkristo
Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
Hii sijui niite ngoma droo au laa huyu binti nilikuwa natoka na rafiki yake nikiwa Dar na alikuwa anajua vizuri nilipotezana nao baada ya mimi kuja mkoani Nyanda za Juu kusini siku moja nipo na...
Mimi ni Mwanaume
Umri: Miaka 30
Elimu: Degree
Kazi: Employed
Dini: Mkristo
Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
Juzi juzi nilikuwa najadiliana na mke wangu juu ya namna bora ya kumuacha kichanga wetu Nyumbani ili kwenda kazini baada ya likizo ya uzazi ya wife kuisha.Wife akaja na wazo kuwa atakuwa anakamua...
Yaani nawaza hapa kama ingekuwa mapenzi ndio ingekuwa kama ibada vile nadhani vijana wote wangeingia mbinguni. Kwasababu mawazo na juhudi zote kwa asilimia kubwa na asilimia kubwa ya vijana...
MAISHA YA NDOA
JINSI YA KUTUNZA CHUPI ZA BWANA
Fua chupi za bwana pekee bila kuchanganya na nguo nyingine,
Fua kwa sabuni yenye haruf nzuuur ya kuvutia ifue taratibu uikague kila, upande
Kisha...
Wadau nawasalimu,
Juzi tulielezwa kwamba yule dada ambae picha zake za faragha zilisambaa mitandaoni alikwenda global publishers kuweka mambo sawa, humu JF kuna clip ya mahojiano kati yake lidya...
Hello,
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.
Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda...
Wapenzi wangu, habarini
Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.
Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia...
Fake friends are no different than shadows, they stick around during your brightest moments but disappear during darkest hours.
Join me shout yeees if you agree with me.
Heshima kwenu wakuu,
Kuna jamaa hapa kazini alikuwa anazungumzia mambo kadha wa kadha kuhusu mahusiano.Jambo moja kati ya hayo limenifanya kulipa uzito wake na kuona ni vyema nikalifikisha hapa...
SEHEMU ya 12.
Usiku baba akarudi nikampokea kwa furaha na mabusu motomoto na nilikuwa nimejiandaa kwa kindumbwendumbwe cha usiku kucha.. Ila baba hakuwa sawa nilimuona kama mtu mwenye mawazo...
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila...
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu
Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale...
Jamaa yangu kanisimulia;
:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika familia yenye upendo na amani.Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya...
Ni miaka takribani sita tangu nilipokuwa nakula tunda la binamu yangu, iko hivi wakati wa likizo zangu zote nilikuwa nakuja kumtembelea mjomba wangu ambaye alikuwa hapa dsm. alikuwa akinipenda...
Habari za wakati huu...poleni na mfungo...
Rafiki yangu wa karibu amepatwa na mkasa huu au niseme mtihani huu kwenye maisha yake.....Rafiki yangu huyu aliangukia katika penzi la mwanadada mmoja...
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu...