Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,622
- 167,452
MAISHA YA NDOA
JINSI YA KUTUNZA CHUPI ZA BWANA
Fua chupi za bwana pekee bila kuchanganya na nguo nyingine,
Fua kwa sabuni yenye haruf nzuuur ya kuvutia ifue taratibu uikague kila, upande
Kisha suuza kwa maji safi rudia tena kusuuza ili isibakie na sabuni hata kidogo
Chukua maji safi chukua udi wowote wa vidonge tia kwenye hayo maji yaache kama dakika mbili ili udi uyeyuke vizuri tumbukiza zile chupi za bwana kwenye maji yale yenye udi,
Kisha zianike zipate jua vizuri zikauke zisiwe na unyevunyevu hata kidogo
usije mtia fangas mwana wa mwenzioo bibi upoo,
Kisha zipige pasi ili kuua vijiduu vidogo vidogo chua al-oud zitie chupi kisha chukua kitezo na udi uzifukie udi wa chati sio wakunuka moshi aaaa utaharibu bibi,
Zikunje vizuri uziweke kwenye sehemu yake maalum uizichanganye na nguo nyingine.
Akivaa bwana shurti asikie rahaa sio kila wakati anajikunakuna kujikuna amwachie teja huko bibi upooo.
Tena usimruhusu mueo kuvaa chupi moja siku mbili akirudi mihangaikon mpe maji oge umpe pensi lenye kupitisha hewa avae apumzike chupi tena
utamu upate upepo upooo.