Baba Parokoo
Member
- Jul 20, 2016
- 60
- 17
Yaani nawaza hapa kama ingekuwa mapenzi ndio ingekuwa kama ibada vile nadhani vijana wote wangeingia mbinguni. Kwasababu mawazo na juhudi zote kwa asilimia kubwa na asilimia kubwa ya vijana wanawaza mapenzi na jinsi kupata wachumba wapya hapa ndio mitaji malengo na jitihada zao huishia hapa.
Yaani kama vile tunafanana na Samsoni na Delila tunaona jinsi Samsoni alivyokuwa tishio kwa wafilist mpaka wakaamua kumtumia Delila kujua siri ya nguvu za Samsoni. Kweli mwanaume kwa mwanamke basi ila ndio hivyo mbinguni sijui labda tubadilike kimtazamo na kifikra.