chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
Hii sijui niite ngoma droo au laa huyu binti nilikuwa natoka na rafiki yake nikiwa Dar na alikuwa anajua vizuri nilipotezana nao baada ya mimi kuja mkoani Nyanda za Juu kusini siku moja nipo na washikaji tunapata moja mbili Tatu nikamwona nilivyomuuliza unanikumbuka akasema yaa wewe si pita?
Nikamjibu yaa nikamuuliza rafiki yako yupo wapi akanijibu Dar but walikosana sasa sikutaka kukaa pale nikamwaga nasema kula kitimoto akataka kuondoka na mimi nikakataa but nikamjibu narudi sasa baada ya siku nne nikaenda baada ya kunipigia simu tukiwa pale akaomba tutoke out.
Tulipotoka tukaanza stori na bia kama kawaida akaniambia rafiki yake waligombana baada ya huyo rafiki yake kumchukulia bwana sasa anataka kulipiza kisasi tulipiga stori nyingi akaniambia jins rafiki yake alivyokua ananisifia coz kiukweli tulifanya mengi.
Nilimwonea huruma coz najijua mimi ni muathirika but tulishutukia tupo rum kilichonishangaza nilivaa kondom but aliivua nikakuta dushe lipo upande wa pili kiukweli na bia na konyagi nilizokunywa nilichukua Muda mrefu sana bila kurusha wazungu kuna saa nilisikia mkojo saa kumi na moja nilipoenda kukojoa nilisikia maumivu makali kwenye njia ya mkojo.
Nikajipa matumaini kwa kuwa nilifanya muda mrefu bila kupata bao maybe kulikucha nikaenda job sasa nikiwa job nikienda kojoa bado maumivu baadae mchana nikaona usahaa nikajua tayari gono hilo jioni nikawahi hospital kuchukua dox na spro ndiyo na siku ya 3 natumia sijarudi na sitaki kumwona tena yule msichana na wala simwambii maana kaniuzi kunipa gono nilikua na lengo la Jumapili niende Dar kwa wife but naogopa maana atajua na kiukweli ni mjamzito.