Siri kumi za ndoa

Siri kumi za ndoa

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,385
SIRI KUMI ZA NDOA

1. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA UDHAIFU WAKE*
Mugu pekee ndio haana udhaifu, Kila ua waridi lina chimbuko lake.

2. *KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA HISTORIA YAKE MBAYA*
Hakuna mtu ambae ni malaika,epuka kuchunguza mambo ya mtu ya nyuma samehe na usahau.

3. *KILA NDOA INA CHANGAMOTO ZAKE*
Ndoa sio kitanda cha maua waridi yanayomeremeta kila muda,kila ndoa yenye mafanikio imepitia misukosuko mingi.

4. *KILA NDOA INA HATUA ZAKE KATIKA MAFANIKIO*
Hatuwezi kuwa sawa, kuna watakaokuwa mbele kidogo na watakaokuwa nyuma kidogo. Kupunguza stress, kuwa mtulivu, fanya kazi kwa bidii na kwa muda muafaka ndoto za ndoa yako zitatimia.

5. *KUOA AU KUOLEWA NI KUTANGAZA VITA*
Ukishaoa au kuolewa ni kuingia katika uwanja wa mapambano,Kuwa tayari kupambana kuulinda ukanda wa ndoa yako.

6. *HAKUNA NDOA ILIYOKAMILIKA*
Hakuna ndoa ambayo imetimilka,Ndoa ni kazi ngumu,jitolee mwenyewe na ufanye kazi ya kuijenga ndoa yako iwe kamilifu.

7. *MUNGU HAWEZI KUKUPA MTU KAMILI UNAYEMTAKA*
Mungu atakupa mtu ili wewe umtengeneze junsi wewe unavyohitaji yeye awe.

8. *KUOA NI KUJIINGIZA KATIKA HATARI*
Huwezi jua nini kitatokea baada ya ndoa, hali inaweza badilika,hivyo achia nafasi ya marekebisho.

9. *NDOA SIO MKATABA WA MUDA BALI NI MKATABA WA KUDUMU*
Ndoa inahitaji ahadi ya kudumu,mapenzi ni gundi ambayo huwafanya wanandoa kuwa pamoja daima..Talaka huanza katika mawazo.

10. *KILA NDOA HUHITAJI KUJITOA*
Hakuna mapenzi rahisi katika ndoa,huwezi kupenda au kupendwa bila kujitoa nafsi yako kwa dhati
 
Naam pamoja na yoote hayo uliyo ya ainisha vilevile yanaweza yasiwe msaada katika NDOA.
 
Ukimwambia maneno haya yule mkaka ambaye picha za mke kapewa wakati wa boxing day...nadhani hatakuelewa..eti asamehe yaliyopita na asahau
 
NA
Naam pamoja na yoote hayo uliyo ya ainisha vilevile yanaweza yasiwe msaada katika NDOA.
Nakubaliana nawe maana sisi ni binaadam na hatuna guarantee na mambo yetu....ila ukiweza kuyasimamia co vbaya ukafanya hvyo.
 
Back
Top Bottom