Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike. Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu...
4 Reactions
91 Replies
11K Views
Hello, natafuta rafiki a.k. a lover,,,, Nina umri wa miaka 23 am currently working anyone. go for PM
1 Reactions
2 Replies
966 Views
Wakuu, Nampenda sana huyu binti lakini nawaza kumuacha.Tatizo lake kubwa anahimili sita kwa sita dakika chache.Some time anachukua dakika 6 anadai katosheka wakati mie ndo mzuka umenipanda. Pia...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Bora aendelee kuwa mama wa nyumbani ila kwa kumruhusu aende kujiongeza kielimu nadhani ni kujitafutia pressure ya moyo tu.
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Wapendwa, Ningependa kuchukua nafasi hii kuwapa mrejesho kuhusu Botellón Get Together ya Wana Jamii Forums iliyoanyika pale katika ukumbu wa Azura Kawe siku ya Ijumaa 29/7/2016. Awali ya yote...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wana-JF, Katika miaka hii ya karibuni kumezuka tabia ya kustaajabisha sana na yenye kupunguza hata upendo katika familia. Baadhi ya akina mama wa nyumbani (wasiojishughulisha na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo; Rangi yoyote. maziwa yawe sio makubwa au...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Kuna wakati unatamani kila text inayoingia kwenye simu yako itoke kwake, bahati mbaya inaingia text na unairukia simu kutaka kuisoma, unakuta ni text ya yule usiye na feelings naye akikwambia " I...
12 Reactions
73 Replies
10K Views
Hawa ni miongoni mwa wanaume ambao kwa dada zetu wengi tu hapa duniani wanawamezea mate.Mmoja anaitwa William Levy anatokea CUBA na mwingine anaitwa John Dumelo anatokea GHANA.Hakina wanalalamika...
11 Reactions
347 Replies
33K Views
Naombeni ushauri. Nina mpenzi wangu tunakaribia kumaliza mwaka sasa. Kukutana kwetu ni mara chache sana kutokana na masomo. Kusema kweli tokea tumeanza mahusiano sijawahi pokea hata shs 10 toka...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Acceptance. Too many people talk about tolerance, but great couples don’t “tolerate” each other’s quirks and differences — they accept them. They celebrate their similarities AND their unique...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Habari zenu ndugu zangu . Mimi nina mchumba wangu ambaye tunapendana sana lakini tunapishana kwa kitu kidogo sana yeye yuko mbali na mimi yeye yuko Dar es salaam mimi nipo Mtwara kwa hiyo huwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
asanteni nimekamilisha kukusanya data zangu[emoji120]
2 Reactions
70 Replies
16K Views
Habari zenu wana JF, Mke wangu anawahi kufika kileleni mapema sana kuniacha mimi na akifika hataki kabisa kurudia. Tukianza mechi ndani ya dk 10 tu anafika, wakati anapofika upiga kelele kweli...
6 Reactions
117 Replies
17K Views
Tunapozungumzia upendo, ni hisia zinazotoka moyoni mwa mtu. Mtu anaposema "Nakupenda kutoka moyoni" hana maana kuwa moyo ndio unaokupenda bali hisia zake za moyoni zipo kwajili yako. Unajikuta...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Natumai wote wazima humu....kwa hakika ningependa tubadilishane mawazo jinsi ya kudeal na mama mkwe na mawifi wakoro bila kumfanya mumeo akuchukie..mfano mimi mama mkwe wangu ni mkorofi sana na...
2 Reactions
125 Replies
16K Views
Kitu ninachokipenda kwa mpenzi wangu ni uvumilivu na hana tamaa za hovyo hovyo. Kama ana shida ya hela nikimwambia sina, kwa upole ananiambia haina shida ukipata utanipa, hanuni wala habadiliki...
4 Reactions
20 Replies
9K Views
Hii ni ya kweli nimesimuliwa jana naomba wazazi mjifunze kitu tafadhali. Kuna binti wa chuo kimoja hapa jijini anatokea Bukoba sasa jamaa yangu akaanzisha nae mahusiano ya kimpenzi. Jamaa hakuwa...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
...unadhani ni kitu gani au jambo gani ukimfanyia mpenzi wako either wa kike au wa kiume, atafurahi zaidi na kuzidisha mapenzi kwako/ akae akikukumbuka kila wakati na kutoenda kwa mwingine, means...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Siku ya tarehe 27.03.2015 nilienda duka kubwa la dawa ili nikanunue kifaa hicho muhimu sana. Pharmacy hiyo ni ya kiwango cha juu kwani imefuata taratibu zote za TFDA, mazingira yake yanaridhisha...
4 Reactions
61 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…