KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,776
- 1,536
Wakuu,
Nampenda sana huyu binti lakini nawaza kumuacha.Tatizo lake kubwa anahimili sita kwa sita dakika chache.Some time anachukua dakika 6 anadai katosheka wakati mie ndo mzuka umenipanda.
Pia kitu kingine ana uke mdogo kiasi kwamba nisipomuingilia mara kwa mara huwa unarudi nakuwa mdogo sana.Kipindi kingine hata kumuingilia nashindwa anaanza kulia kuwa anasikia maumivu.
Kumuandaa namuandaa vya kutosha takribani dakika 20 mpaka 25.Sasa sijui tatizo ni nini.Maana huwa ananionyesha ishara zote za kutaka niingie uwanjani lakini ndo hivo muda mwingine nashindwa kabisa.
Nimejaribu kuongea nae tujue tatizo ni nini, lakini kadai kuwa muda mwingine huwa akilala anaota anafanya sex na akijishika ukeni anakuta mbegu.
Anadai aliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji na baba yake wakadai huwa anaingiliwa na jini.Alipewa dawa na hali hiyo ikapotea lakini sasa imeanza kujirudia.
Kiukweli nimekaa nalo moyoni nimeshidwa.Nimeona bora nililete hapa mnishauri nifanyeje.
Nampenda sana huyu binti, lakini ndio hivo mawazo yakumuacha yananiijia.Sijui kiukweli nifanyaje wadau.
Muda nilio tangu tumeanza mahusiano ni miez 9 mpaka sasa.
Nimeandika story kwa ufupi tu.
Asanteni.
cc:Heaven sent,Mshana jr,The Boss,watu8,miss chagga,rubii,Mzizi mkavu,EMT,Elli.