Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa hiyo juzi juzi tu Malia alienda kwenye tamasha la Lollapalooza. While there she was caught on camera twerking and flashing some of her [meager] goodies. I think either this year or next...
10 Reactions
139 Replies
12K Views
Wakuu, Nimekuwa nikijenga urafiki na wanawake lakini naishia kuwatamani nifanyaje hali hii isijitokeze wakuu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Inawahusu wanandoa zaidi; Mojawapo ya faida na umuhimu wa tendo la ndoa hasa kwa wanandoa ni kujenga afya ya mwili na akili pamoja kudumisha upendo katika ndoa au kwa wanandoa. Ili tendo hilo...
6 Reactions
32 Replies
18K Views
Nina mpenzi ambaye nampenda ila mara yetu ya kwanza kufanya sex alichukua kama dakika 45 kupizi na hata ukichemzea sana swala la kukojoa kwake ni shida sana ila sikuwahi kumuuliza siku chache...
2 Reactions
119 Replies
21K Views
Habari za kutwa waungwana, Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati...
15 Reactions
364 Replies
31K Views
Habari wana Jf Kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili hapa Kasulu ambao ulikuwa na ugeni kutoka Marekani wazungu kama 25, mzungu mmoja akatoa ya moyoni mwake anapenda kuwa na mke wa Kiafrica...
13 Reactions
139 Replies
23K Views
ANGALIZO........ Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa, yaani SURA KALI.... SHEPU HILOOO... MIGUU YA UKWELI.. AMESOMA VIZURI.. Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU jua kuna kitu kimoja tu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kupenda ni ugonjwa na maumivu ya mapenzi ayajuae ni mpendaji nimempenda mpenzi wangu kiukweli tunapendana kwa dhati sana nilipowatambulisha wazazi walinuna sana na kuniita na kuniambia kuwa kwenye...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
“Nimemsikia kila alichokuwa anapanga kufanya siku inayofuata, baada ya kuzungumza kwenye simu akiamini nimelala kwa sababu nilikuwa naumwa na nilipewa dawa nilizopewa ni za usingizi aliamini...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Kuna issue hapa inaniumiza kichwa kuna Mke wa jamaa flani hapa mke wake amegundua tabia za usaliti wa mumewe na baadhi ya matatizo hata mimi nilishuhudia baadhi ya tabia hizo. Na kaniomba tuonane...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
30 Facts about men #1. Unfaithful men have lower IQs - according to a scientific study #2. Men spend almost a year of their lives staring at women, a survey found. #3. Half of all women who die...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Mrejesho; leo ni siku ya tatu ninafuraha sana ni kuhusu yule kaka niliyekuwa nampenda sana siku kadhaa nyuma nilifanikiwa kumtuma mtu akaniulizie jina lake na hatimaye nikafanikiwa baada ya apo...
12 Reactions
78 Replies
12K Views
So I met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquaintance. Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida. Then a couple of months later...
0 Reactions
246 Replies
18K Views
Habari wana JF, Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wengi wenu mmezidi kupaka matakataka usoni hadi mnapoteza uhalisia, kunako bedi bed sasa, maharufu makali hadi inakuwa ngumu kukidhi haja. Mwengine huwezi mjua kama ni mzungu au albino, mnatia...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
ISOME KWA MAZINGATIO INAKUHUSU WEWE KIJANA KISA CHA DADA HUYU Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanini napata shida sana kujua hili swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamilikaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao. But kuna mwanamke...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Inatokea mara kwa mara kwa wanawake wengi, kipindi hajazaa huwa anatembea sana na vijivulana vingi na kuwaringia wanaume wa kweli wenye future nzuri, ila baada ya kupachikwa mimba tu na kuzaa...
3 Reactions
75 Replies
9K Views
Wife nilimbembeleza mpaka akakubali kwenda clinic mimba ni ya miezi 4 sasa kapewa arvs but kagoma kabisa kutumia kwa imani yake anasema hajaathirika na hawezi kutumia kamwe. Mimi inaniuma sana...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…