Tukumbushane mapenzi ya kuhonga hadi ukalizwa

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
239
Reaction score
369
Habari wana JF,

Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.

Nikamnunulia simu msichana wangu, toka siku niliompa ilikuwa Jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na sijui katokomea wapi au sijui alikuwa haramia.

Huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ungesema kutoa instead ya neno " kuhonga" ningekuelewa mnoo...
 
Habari Wana JF
Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa.

Mm nilikuwa na kademu changu kalikuwa hakana cmu sasa ikawa shida mm kila cku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.

Nikamnunua cmu demu wng, toka cku niliompa ilikuwa jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na cjui katokomea wapi au cjui alikuwa haramia.

Huu mchezo hauhitaji hasira.
Ni matumaini yangu ulipata angalau busu la kufutia machozi.
 
Habari wana JF,

Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.

Nikamnunulia simu msichana wangu, toka siku niliompa ilikuwa Jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na sijui katokomea wapi au sijui alikuwa haramia.

Huu mchezo hauhitaji hasira.
Mjini shule ila usije na madaftari.
 
Sijawahi kuhonga ila nimesaidia tu...na niliowasaidia nao walinilipa vizuri
 
Habari wana JF,

Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.

Nikamnunulia simu msichana wangu, toka siku niliompa ilikuwa Jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na sijui katokomea wapi au sijui alikuwa haramia.

Huu mchezo hauhitaji hasira.

Usihofu mkuu, huyo atakutafuta siku usiyotegemea na akiwa na shida. Hawa wrnzetu wanaishi kwa ujanja sana
 
Watu tumehonga ma Vx na ma Bmw na bado tukalizwa,sembuse kijisimu!
 
Hivi kumpa kitu mpenzi wako ni kuhonga?
Unajua tafsiri sahihi ya neno 'kuhonga'?
 
Back
Top Bottom