Every dad's worst nightmare!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Kwa hiyo juzi juzi tu Malia alienda kwenye tamasha la Lollapalooza.



While there she was caught on camera twerking and flashing some of her [meager] goodies.

I think either this year or next year, she will be college bound. She's now a young adult.

But damn..her [Malia's] twerking got me thinking...that one day my cute little one will be college bound as well and lord knows what happens there [coz been there done that].

If there's one thing that causes me to lose sleep at night it's the prospect of my daughter starting to deal with boys.

I don't even want her to be twerking and doing all that kinda crap.

But I know that's a losing battle...there's no way I can win it.

So just imagine you see your cute little girl twerking on stage like that!

From a man's perspective I feel Mr. Obama.

For real, for real.
 
Watoto wa kike huwa na choice zao tofauti na matamanio ya wazazi wao kabisa....Usije shangaa Malia akamzimia Rapper mmoja muhuni mbaya ndo akawa chaguo lake huyo...
Bongo wazazi wanataka mtoto uwe either Dr, engineer au lawyer tofauti na hapo ni disgrace to the family. Sasa jiulize wangapi ni disgrace kwa familia zao.

Kwenye mahusiano ndiyo kabisa si watoto wa kike wala wakiume matarajio ya mzazi hata yao watoto ni oa/kuolewa na imaginary person fulani ambaye ni almost perfect uhalisia ni tofauti kabisa. Expectations are very unrealistic.
 
Yaani umesema ukweli. Nimeolewa lakini kuna nyakati baba kama hakubali ukweli.

Tangu tukiwa wadogo alikuwa anasema hakuna kuolewa mpaka umalize chuo. Nikiwa chuo alikuwa anasema komaa ufaulu vizuri uunganishe masters kabisa ndo uolewe.

Kila mara haishi kusema sifa za anayemtaka. Akimaliza kusema unajiuliza hivi hapa naolewa mimi au yeye?

Katika yote ilinisaidia niwe mwangalifu nisije nikamkasirisha nikakosa baraka zake.
Miezi michache kabla sijafunga ndoa, alinipa ukweli wa ndoa kwa upande wa mwanaume alifunguka sana. Nilijifunza mengi.
 
Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
Pole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na Mafisi
 
Back
Top Bottom