Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
3 Reactions
4 Replies
922 Views
Habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko...
4 Reactions
94 Replies
23K Views
Othmani anajilaza kitandani akiwa na lengo la kumsubiri rafiki yake Shukuru. Taratibu mawazo yanamrudisha nyuma miaka miwili iliyopita. Wakati akija kuanza masomo yake ya shahada ya Soshologi...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
mim ni msichana mwenye umri wa27 nahitaji mwanaume mwenye hali kama yang ili tuanzishe familia naomba mwanaume yoyote aliyetayar ila asiwe tegemez coz mim pia nmwajiriwa wakipato cha kati meng...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi humu Mimi mgeni kidogo humu, ila kwakuwa na mimi ni mkereketwa wa mahusiano acha leo nilete hoja humu kwa kujitumia kama mfano. Binafsi nimeshaji engage kwenye mahusiano kwa muda sasa, na...
7 Reactions
78 Replies
9K Views
Wanahisi wajeda Ni Malaya na wakatili. For all I know I am alcoholic.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina mpenzi wangu ambaye alinidanganya kuhusu umri wake, kutokana na umbo lake kubwa wala sikutia shaka jana ndio nimekibamba kitambulisho chake cha kupigia kura kumbe mimi ndio nimemzidi miaka 8...
1 Reactions
71 Replies
11K Views
Wanadada wengi wamekuwa wakilalamika sana eti wanaume hawaeleweki. Lugha ya wanaume wote duniani ni moja tu asikudanganye mtu. Hamna lugha nyingine wanaume wanayozungumza zaidi ya hii. Nenda...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Ni kijana ambaye ni jirani yetu, sasa huyu kijana huwa anatabia ya kutaniana sana na mama yake mzazi yaani wana ule utani tu wa kawaida wa mama na mtoto. Jana jioni baada ya kutoka shule maana...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka kama 5 iliyopita wanaume sisi wa kipato cha kati na cha chini tulianza kudharaulika sana. unajua ilikuwa hata ukimsalimia mdada anakutizama kwanza kwanzia juu mpaka chini, halafu anaangalia...
16 Reactions
35 Replies
5K Views
Aiseee! Nimeshangazwa na rafiki yangu ni mtu mwenye familia yake kunialika kwenye birthday part yake khaaa! Hivi vidume tumekuwaje sikuhizi? Kidume mzima unaanzaje kuimbiwa happy birthday tu yuuu...
46 Reactions
226 Replies
20K Views
Heshima kwenu wadau.. Naombeni mnishauri jinsi ya kukabiliana na gharama za maisha.. Maana naona siendelei kabisa.. Ni kijana naishi na mke na mtoto mmoja.. Plus mdogo wangu na house girl...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
I mean kama ni jioni ama weekend muwapo nyumbani, mmeshamaliza shughuli zenu mbali na kuangalia movie, tamthiliya, kusikiliza muziki, ni game gani ama mchezo gani mnaweza kucheza wa furaha uwapo...
3 Reactions
154 Replies
22K Views
hizi tiba zimepata umaarufu sana hasa kwa Dar sehem nyingi utakuta matangazo ya dawa za nguvu za kiume na kwenye magazeti ya udaku pia mchezo tukija upande wa kina dada hili suala Limefanya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama mjuavyo kwamba ninao watoto watatu wa mama tofauti,SEAN,TRAVIS na MOUREEN,.sasa hao wa kiume wote wawili nilishawachukua na wapo pale kwa mama yangu mzazi na nimewatafutia house girl.wote...
5 Reactions
92 Replies
9K Views
Habari wana MMU, Kwa kweli kuna hii tabia ambayo baadhi ya wamama wanaifanya kwa kweli sio nzuri na pia itakugharimu baadae, pindi watoto wakikua. Tabia hii ni ile ya mama kukashifu, kutukàna au...
15 Reactions
65 Replies
6K Views
Hallow wana JF Labda nianze kwa ufupi, Ikiwa ni mwaka wa saba tangu nimuoe mke wangu sijawahi hata siku moja kumfahamu mwanamke mwingine, hii ilikuA tangu kuzaliwa kwangu siku mjua mwanamke zaidi...
12 Reactions
137 Replies
14K Views
Nasoma habari ya Dejan Lovren kwa majonzi makubwa kiasi kwamba nafsi yangu imejaa huzuni kubwa mno, Dejan Lovren hakuweza kushiriki michuano ya Euro 2016 sababu aligundua mke wake ana mcheat na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mwaka jana tulikuwa tumesafiri kwenda nyanda za juu kusini wakati wa kurudi tulisimama wilaya fulani mjini kwa ajili ya kuongeza maji bahati mbaya tulisahau kufunga mfuniko wa...
7 Reactions
121 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…