manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
hizi tiba zimepata umaarufu sana hasa kwa Dar sehem nyingi utakuta matangazo ya dawa za nguvu za kiume na kwenye magazeti ya udaku pia mchezo tukija upande wa kina dada hili suala Limefanya matabibu wameibuka kwa kasi ya ajabu wamekua matajiri kwa dawa zao hivi mbona zamani haya matatizo hayakuepo? vijana wengi wanalia wakipiga kimoja ni dk wazungu haoooo na haisimami.. kina dada wengi wanaolewa kwa ndoa za kifahari ila mimba haiingii. madem wazur ila hawanasi mimba... haya matatizo mbona yamekuja kwa kasi sana miaka hii?