Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa, Nategemea japo sijapitia post au uzi zote hoja hii haitakuwa mpya sana japo ni mimi nahitaji sana kujua mawazo ya wenzangu katika hili. Muda wote wa elimu ya msingi na sekondari sikuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Utagundua kuwa Kama kuna viumbe complicated duniani basi ni Wanawake. Yaani wapo Complicated mpaka basi. Ukiangalia theories mbalimbal za mtokeo wa dunia ukiacha ya kidini basi kuna moja inaitwa...
6 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari za Jioni? Natumai wote mko poa, Naomba kuuliza jambo moja kuhusu mahusiano hasa ya kimapenzi. Hivi nini huwa chanzo cha watu waliokuwa na mahusiano zamani na wakaachana au kupotezeana...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wakuu Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Siku hizi umekuwa kama mtindo kwa wapenzi au hata mtu mmoja mmoja hasa mabinti kupenda kupiga picha za video au mnato wakionesha maeneo yao nyeti. Najua wengi wanaofanya mambo haya hawajui kuwa ni...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu salaam? Pamoja na kwamba nilijiapiza kwamba sitatumia condom kwa sasa ila nadhani haitawezekana kabisa kwa sababu kila ninapofanya bila condom basi muda si mrefu mwanamke huyo ataniambia ana...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kae Greene mshindi wa Arnold Classic 2016. Arnold Schwarzenegger mwaka 1975.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanaJF Hii itawasaidia sana wanawake ambao wapo tayari kwenye ndoa na mahusiano ya kawaida ambapo kuna mahala wanawake wanajisahau na kuwatamkia wanaume wao maneno yasiyo na hekima, kwa...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi nina aina yangu ya kumtathmini mwanamke, najua wapo wanaume wengi wenye mtazamo kama wangu, mimi kitu cha kwanza nachoangalia kwa mwanamke ni mkia. Hivyo basi mwanamke wemye mkia nampa maksi...
22 Reactions
166 Replies
28K Views
Katika maisha, unapoanza kufanikiwa katika kila nyanja, nakuhakikishia shetani atakuja na kila aina ya uharibifu, hasa kupitia kwa watu wako wa karibu. Ataleta majaribu kutoka pande zote, kila mtu...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimekaa nikachunguza sana pengine hata mimi nina tabia hiyo, utakuta una msichana mzuri wa sura na tabia lakini ikitokea bahati mbaya ukikutana na msichana mwingine pengine barabarani lazima...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Habari za usiku huu wanajamii, Naweza kusema ni bahati mbaya au ni ujinga nilioukumbatia mpaka yakanikuta Leo. Nisiwachoshe sana ngoja niende kwenye lengo nililokusudia. Mwaka 2007 nilikua na...
6 Reactions
73 Replies
9K Views
109-Year-Old Woman Reveals Her (Hilarious) Secret to a Long Life is AVOIDING MEN So what's her secret to a long life? In an interview, she revealed that exercising and having a daily bowl of...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wanabodi, Bila shaka unawajua ama umesikia ama na wewe ni mmojawapo ya hawa single ladies ambao unakuta alizaa mtoto na anamlea mwenyewe na labda amepanga mjini halafu unakuta analala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello, Its just that Kasie is too selfish to give the only thing she has...... She find it very difficult, this is because more than being selfish she found that she love herself and do not...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Katika maisha hakuna kitu kibaya kama kupokea taarifa mbaya na hichi ndiyo chanzo cha matatizo yote pale mtu anapoambiwa ameathirika na hapa ndiyo ugonjwa unapoanzia kwasababu ya uoga pia kuhisi...
4 Reactions
23 Replies
8K Views
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
3 Reactions
4 Replies
922 Views
Habari za mihangaiko wana jf, leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu yakukufanya ujihisi wewe mzuri kuliko...
4 Reactions
94 Replies
23K Views
Othmani anajilaza kitandani akiwa na lengo la kumsubiri rafiki yake Shukuru. Taratibu mawazo yanamrudisha nyuma miaka miwili iliyopita. Wakati akija kuanza masomo yake ya shahada ya Soshologi...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
mim ni msichana mwenye umri wa27 nahitaji mwanaume mwenye hali kama yang ili tuanzishe familia naomba mwanaume yoyote aliyetayar ila asiwe tegemez coz mim pia nmwajiriwa wakipato cha kati meng...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…