rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Habari za Jioni?
Natumai wote mko poa,
Naomba kuuliza jambo moja kuhusu mahusiano hasa ya kimapenzi. Hivi nini huwa chanzo cha watu waliokuwa na mahusiano zamani na wakaachana au kupotezeana kwa miaka kadhaa au muda mrefu na ukakuta mmoja wao kaoa/kaolewa lakini bado wakionana mahusiano yanarudi kama mwanzo? Ila sio kwa wote.