Kwanini kila mwanamke nikitembea nae peku basi siku si nyingi ataniambia ana mimba yangu?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Wakuu salaam?
Pamoja na kwamba nilijiapiza kwamba sitatumia condom kwa sasa ila nadhani haitawezekana kabisa kwa sababu kila ninapofanya bila condom basi muda si mrefu mwanamke huyo ataniambia ana mimba yangu.kumbuka nina watoto watatu wa mama tofauti tayari,na kuna wanawake wawili walishatoa mimba zangu (baada ya kusikia nina watoto watatu wa mama tofauti).na sijaoa bado maana naangalia mwanamke sahihi kutokana na kwamba mke ni kitu kingine kabisa.sasa hapa kati nilikuwa na mahusiano na mwanamke mmoja hivi.siku ya kwanza nimepiga tu baada ya wiki mbili ananiambia siiu zake zimepitiliza na anajisikia vibayavibaya,mara anapata kichefuchefu na kuchagua vyakula.kiuhalisia baada ya kuhesabu kalenda tu nimegundua kwamba hiyo ni mimba.nashindwa kuelewa nitakuwa na maisha gani kwa namna hii na watoto wawili wapo kwa mama tayari,na huyo mmoja bado hatujaelewana na mama watoto kwamba nimchukue.kinachonipa homa ni kwamba mama kanikanya sana nisizae nje ya ndoa kwa sasa,anataka nioe.yaani nawaza sina hata amani,why me? Kwa nini iwe hivi?
Nisamehe sana mama Moureen najua unasoma sana nyuzi zangu humu na huwa kama kuna uzi umekukera huwa unanipigia simu na kunisema sana,am sorry my baby`s mama,najua utakasirika sana
 
Hahahahahahaha,....mkuu mimi HITIMISHO lako tu limenifurahisha sana!!!!
 
Mada yako ni ya ajabu sana.Wewe unapolala na hao wadada bila condom wanao huwa unawacheulia nje au ndani ?
 
Kata hiyo makitu na kama huwezi basi chagua kugegedwa maana hakuna namna.
 
pole wewe kati hayo ulio watia mimba hakuna anayefaa kuwa mke? anza kuvaa kondomu au uwe unachojoa nje
 
Sasa na wewe kwanini unatembea nao peku na tayari ushatobolewa na miiba takriban mara tatu
 
Wakuu salaam?
Pamoja na kwamba nilijiapiza kwamba sitatumia condom kwa sasa ila nadhani haitawezekana kabisa kwa sababu kila ninapofanya bila condom basi muda si mrefu mwanamke huyo ataniambia ana mimba yangu.kumbuka nina watoto watatu wa mama tofauti tayari,na kuna wanawake wawili walishatoa mimba zangu (baada ya kusikia nina watoto watatu wa mama tofauti).na sijaoa bado maana naangalia mwanamke sahihi kutokana na kwamba mke ni kitu kingine kabisa.sasa hapa kati nilikuwa na mahusiano na mwanamke mmoja hivi.siku ya kwanza nimepiga tu baada ya wiki mbili ananiambia siiu zake zimepitiliza na anajisikia vibayavibaya,mara anapata kichefuchefu na kuchagua vyakula.kiuhalisia baada ya kuhesabu kalenda tu nimegundua kwamba hiyo ni mimba.nashindwa kuelewa nitakuwa na maisha gani kwa namna hii na watoto wawili wapo kwa mama tayari,na huyo mmoja bado hatujaelewana na mama watoto kwamba nimchukue.kinachonipa homa ni kwamba mama kanikanya sana nisizae nje ya ndoa kwa sasa,anataka nioe.yaani nawaza sina hata amani,why me? Kwa nini iwe hivi?
Nisamehe sana mama Moureen najua unasoma sana nyuzi zangu humu na huwa kama kuna uzi umekukera huwa unanipigia simu na kunisema sana,am sorry my baby`s mama,najua utakasirika sana
Wewe endelea tu kujaza ulimwengu...Msalimie na Mama Moureen mwambie next time akupe story
 
Back
Top Bottom