Wanawake: Kosoa kwa hekima

Wanawake: Kosoa kwa hekima

Queen___

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
214
Reaction score
224
Habari wanaJF
Hii itawasaidia sana wanawake ambao wapo tayari kwenye ndoa na mahusiano ya kawaida ambapo kuna mahala wanawake wanajisahau na kuwatamkia wanaume wao maneno yasiyo na hekima, kwa mfano utamsikia mwanamke anamwambia mwanaume wake kuwa ‘’Wanaume wenzako wanajenga, wewe kila siku ahadi tu" [emoji16][emoji16]. Kauli kama hii ni kosa na kasoro kubwa.

Ukiachilia mbali kwamba hiyo ni lawama, lakini kauli kama hiyo inajenga hisia kwa mwenzako kuwa mwanamke huyu kumbe anapenda kuwa na wanaume kama hao hivyo wanaume wengi hawapendi kushauriwa bila hekima na kudhani kuwa wanawake hao wanaodhani wanaume wao siyo wa maana hivyo mwanamke ukitumia maneno yasiyo na hekima huwezi kuwa sumaku kwa mwanamume wako bali mwibaa mchungu[emoji17]
 
Kauli Kama hiyo inaweza kuja endapo umemshauri taratibu hakuelewi so unajikuta umetamka hivyo kwa hasira
 
Kwenye ukweli ataambiwa tu! sasa kama kweli wanaume wenzake wanajenga yeye yupo busy kula kitimoto na kulike instagram nisimwambie???
 
Nimeonyeshwa hali ya hewa haitakuwa sawa kwenye Uzi huu mda mchache ujao... Tafadhali kama hauna shughuli ya maana kwenye Uzi huu comment na kutoka haraka
 
Hahaha......watu wenye stress zao watakuja haraka mbio mbio! Napita tu!
 
ahadi apeleke kwenye majukwaa ya lowassa sie magufuli hapa kazi tu
 
ndoa ya kudanganyana siwezi wenzie wanaongeza ghorofa yeye anawekeza kiunoni kila siku kunigegeda nitamwambia tu.hizo nguvu achimbe hata msingi kama hela ya vibarua hana
Ndo maana nikasema hujui ndoa ndo maana unaongea utumbo.......jana juzi kuna uzi za kuhusu wake za akina bill gates, bill clinton, nk vipi ulisoma na kuelewa ama ulikuwa insta?! Kazisome!
 
kwenda huko usitafute kiki kwa kupitia mimi
 
Habari wanaJF
Hii itawasaidia sana wanawake ambao wapo tayari kwenye ndoa na mahusiano ya kawaida ambapo kuna mahala wanawake wanajisahau na kuwatamkia wanaume wao maneno yasiyo na hekima, kwa mfano utamsikia mwanamke anamwambia mwanaume wake kuwa ‘’Wanaume wenzako wanajenga, wewe kila siku ahadi tu" [emoji16][emoji16]. Kauli kama hii ni kosa na kasoro kubwa.

Ukiachilia mbali kwamba hiyo ni lawama, lakini kauli kama hiyo inajenga hisia kwa mwenzako kuwa mwanamke huyu kumbe anapenda kuwa na wanaume kama hao hivyo wanaume wengi hawapendi kushauriwa bila hekima na kudhani kuwa wanawake hao wanaodhani wanaume wao siyo wa maana hivyo mwanamke ukitumia maneno yasiyo na hekima huwezi kuwa sumaku kwa mwanamume wako bali mwibaa mchungu[emoji17]
Dada ushaolewa... ??
 
ndoa ya kudanganyana siwezi wenzie wanaongeza ghorofa yeye anawekeza kiunoni kila siku kunigegeda nitamwambia tu.hizo nguvu achimbe hata msingi kama hela ya vibarua hana
Pengine ni busara kutumia nafsi ya kwanza wingi,badala ya nafsi ya tatu umoja.Play Your Part as well.
 
Back
Top Bottom