IMAGINE THIS...
Maimuna ameolewa akiwa na miaka 30 lakini ametolewa bikira na fala fulani tu akiwa na miaka 16 akiwa anasoma Kisutu sekondari kwa chips-yai strategy. Tangia hapo amekuwa akichezea...
Unapanga na msichana mkutane hotelini kwenda kupiga mechi ya mchanga, anakwambia hana pesa ya nauli unamtumia nauli, anafika hoteli anaagiza msosi mnakula msosi wa wanguvu. Kidume unatoa pesa...
Mwanamke akikuacha kwa nyodo, mbwembwe na matusi, wala usimjibu kwa kupanic, utampa kichwa, atajifeel amekuweza kaa kimya, mwanaume na mdomo wapi na wapi.
Penzi jipya kidonda, penzi jipya ni kama...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo ni closet cleaning day! All skeletons out. The tortoise is coming out of its shell.
Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo...
Mapenzi sio shape kuna wanawake wana shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara. Kuna wanawake hawana shape lakini kichwani wako very smart na wana...
Zamani ilikuwa rahisi kusikia wanawake wakihadithiana "yani my man ananiduu mpaka natamani nikimbie kitanda". Siku hizi hizo stori utazisikia mara 1 kwa miaka 3. Wanaume kazi kushnehi tunawapa...
Wazee wa kususa susa, kitu kidogo unamnunia msichana wiki ili ubembelezwe wewe. Yaani unatafuta kasababu kaduchu ili unune wengine, eti wananuna kisa wamemuita msichana waende out msichana akasema...
Kuna tabia moja siipendi unamtoa mdada out anakuja na shoga yake. Sasa cha ajabu mgeni rasmi anapiga malta mgeni mwalikwa anatandika st. Anna kama maji ya uhai.
Mtuoneage huruma na sie. Ndio...
Nasema hivi kwa sababu tangia nachumbia mpaka sasa nimeoa,mwanamke ni mzito sana kwenye mapenzi,anahitaji kubembelezwa,kupewa zawadi ,ahadi kibao ili akubari kufanya mapenzi,na Mara nyingi huwa...
RfSidhani kama kuna mwanaume asiyejua mchango wa hawa watu kwenye mazingira tunayoishi
Wengi hujikusanya na kukaa sehemu moja iwe guest house,nje ya madisco,viwanjani yani maeneo yao husika kwa...
Nipo kazini mara nasikia simu yangu ya mkononi ujumbe ukiingia, nachukua kuangalia ni nani na nini..nakutana na ujumbe huu na maagizo :-
Kuwa "wape wanandoa wote unaowafahamu ujumbe huu.
Mungu...
Profesa wa Saikolojia akiwa
anafundisha kuhusu
mahusiano, aliwauliza
wanafunzi wake. Kwanini
tunafokea na kukaripia
tunapokuwa tumekasirika?
Kwanini watu wanafokeana
na kukaripiana kwa sauti...
Kutokana na desturi za huko Sri Lanka bibi harusi ni lazima athibitishe kwamba ni bikira usiku wa harusi yake.
Kila bibi harusi hutakiwa kubeba kitambaa cheupe ambacho huwekwa chini wakati wa...
Katika pitapita zangu mtandaoni nikaona tangazo la muuzaji wa iPad. Nikasevu namba yake ili nimtafute nikiweka salio. Nilipocheki kwenye WhatSapp nikamkuta yupo tayari.
Tukaanza kuchati baada ya...
Hivi umewah kuwaza siku ikatokea ATM machine inatafuta mchumba au mke? aisee ndoa za watu wengi zitavunjika. maana hata walioolewa nao watajiachisha ili wakaolewe na ATM Machine. heeehh nyie wa...
STRESS NI NINI..?
Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!
Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo...
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke...