Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.
Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.
Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?
Naomba mnishauri.